Kiama kingine kwa wafanyakazi Serikalini

Kiama kingine kwa wafanyakazi Serikalini

Kiongozi Mkuu, naomba unisamehe kwa bure tu niko chini ya miguu yako!! Usikubali siku yako iharibike kirahisi hivyo huku karibia linazama! Niliwaka kwa sababu nilitukanwa kinyume na utaratibu wa jamii yangu Mkuu!!

yameisha mkuu,take it easy!! iam sorry pia kwa nilipo kukwaza!
 
Tatizo mleta uzi badala ya kupost hilo tangazo alafu aombe ufafanuzi,akaanza moja kwa moja kutia hofu kwa wafanyakazi,tena anasema wafanyakazi serikalini,hivi hilo tangazo hapo linaongelea wafanyakazi serikalini peke yake?,hivi wabongo sijui tukoje?mtu hujui kitu kisa umeokoteleza kibandiko sehemu basi unajifanya much know kweli!!.

Huo mfuko hautawaadhiri wafanyakazi hata kidogo,huo ni serikali itapambana na waajiri kama TRA inavyokusanya kodi,na michango yote toka kwa waajiri itakokotolewa na maafisa wa TRA wakati wa kukokotoa kodi ya mwajiri.Michango yote italipwa TRA then TRA ndio wataipeleka kwenye mfuko.

Soma uzi between the lines mkuu,sio unarusha tu maneno kama ume panic hivi.relax bro!!
 
pamoja na maelezo yako ila kiukweli ume nikwaza sana,nime jiskia vibaya na siku yngu hakika ume iharibu.

Mungu akusamehe kwa kweli!!

Ulistahili kukwazika na post yako ya kichochezi. Soma sharia kwanza ndo ulete hapa siyo unakurupuka tuuuu. Kama hujui uliza siyo kuweka post kama unajua kumbe hamna kitu.
 
Ulistahili kukwazika na post yako ya kichochezi. Soma sharia kwanza ndo ulete hapa siyo unakurupuka tuuuu. Kama hujui uliza siyo kuweka post kama unajua kumbe hamna kitu.

Nime kuchunia muda mrefu coz nakuona unakuja kwa shari,hii comment huku paswa kuidandia kichwa kichwa na nimesha malizana na job k.

Mind your biznez kaka! Wenye kuelewesha wamesha fanya kazi yao!
 
Hii itawafanya wajiri wasiongeze mishahara kwa wafanyakazi wao hasa sector binafsi. Ni kikundi cha wachache waendelee kuitafuna keki ya taifa. Ukifuatilia bodi ya wakurungezi ni makada wa ugambani ni shidaaaa
 
Wewe ndo utumie akili pu.mba.vu kubwa wewe! Wakati mwajiri analipa SDL alikuwa anakukata moja kwa moja kwenye mshahara wako? Nunda likubwa wewe!! Ni kipi kibaya nilichokisema hapo juu mpaka uniambie nitumie akili mat.ako wewe? Kwenye hiyo sheria umeona kuna mahali wametaja mwajiriwa? Ngoja nikusaidie ng'wanakinya, kwenye mshahara wako hutakatwa chochote! Lakini hata kama utakatwa hilo pengo utalihisi kweli? Yaani 0.5-1.0% kwa mwezi? Wewe unayepokea 350,000/= na wewe utusumbue? Ukatwe tu maana ni 1750/= kwa mwezi pamb.afff!!

Matusi ya nini?
 
Inaelekeza "Employers" na si "Employees" kwa maana ya kuwa michango itatoka kwa waajiri na si waajiriwa.

Ni waajiri sio waajiriwa. Nadhani ilipita bila waajiri kujua.
 
1750/- × wafanyakazi Wote nchini wenye mshahara Huo...huu ni ujasiriamali ndugu
 
Back
Top Bottom