Kiama kingine kwa wafanyakazi Serikalini

Hii ni kiama kwa wafanyakazi .kwa sababu mfuko wa pensheni serikali wana chukua hela na kutafuna tu hawajui kurudisha ,Sasa wanataka wakubane na mfuko mwingine ili wale na mikono yote miwili ,Ndio maana wastaafu wengi wanakufa kabla ya wakati wao kutokana na shida
 
Ndugu hiyo ni kwaajili ya "WAAJIRI" (EMPLOYERS) na sio WAAJIRIWA (EMPLOYEES)

Elewa kwanza ujumbe ndipo uanzishe thread!!!

unadhani sijui kama ina gusa waajiri? we unadhani atakae athirika ni nani kama sio mwajiriwa?

acha u ndorobo!
 
Soma kwanza sheria yenyewe ndo uanze kulalamika!

Hakuna mahali palipotajwa kwamba mwajiriwa atachangia kwenye huo mfuko, bali mwajiri ndiye atawajibika kulipa mchango huo. Nahisi kule sekta binafsi kuna namna itafanyika ili kufidia pengo hilo (ingawa ni dogo), pengine msije kushangaa kama hamtapandishiwa mshahara kama ilivyo ada kwa kisingizio hiki! Sheria yenyewe hiyo hapo kwenye attachment!

huyo mwajiri atachangiaje? au atachangia kwa mtindo upi?

tumia akili.
 
Hii ni kiama kwa wafanyakazi .kwa sababu mfuko wa pensheni serikali wana chukua hela na kutafuna tu hawajui kurudisha ,Sasa wanataka wakubane na mfuko mwingine ili wale na mikono yote miwili ,Ndio maana wastaafu wengi wanakufa kabla ya wakati wao kutokana na shida

hii ni hatari tupu hapa kuna watu wnataka waji nufaishe wenyewe.
 
unadhani sijui kama ina gusa waajiri? we unadhani atakae athirika ni nani kama sio mwajiriwa?

acha u ndorobo!

Ahsante!

Nimerekebisha tu bandiko lako ambapo wewe umetafsiri waajiriwa wataanza kukatwa tofauti na tangazo linavyosema....

Nimekurekebisha tangazo linawahusu waajiri wala sijaingia kiundani kujadili kina nani wataathirika zaidi...

Ungetaka sema hayo ungebadili content ndugu...

Tuwe waungwana tunapisahihishwa.
 
huyo mwajiri atachangiaje? au atachangia kwa mtindo upi?

tumia akili.

Wewe ndo utumie akili pu.mba.vu kubwa wewe! Wakati mwajiri analipa SDL alikuwa anakukata moja kwa moja kwenye mshahara wako? Nunda likubwa wewe!! Ni kipi kibaya nilichokisema hapo juu mpaka uniambie nitumie akili mat.ako wewe? Kwenye hiyo sheria umeona kuna mahali wametaja mwajiriwa? Ngoja nikusaidie ng'wanakinya, kwenye mshahara wako hutakatwa chochote! Lakini hata kama utakatwa hilo pengo utalihisi kweli? Yaani 0.5-1.0% kwa mwezi? Wewe unayepokea 350,000/= na wewe utusumbue? Ukatwe tu maana ni 1750/= kwa mwezi pamb.afff!!
 
Sasa haya matusi yote yana toka wapi ndugu? Kukuambia tumia akili ndio uni tusi namna hiyo? Au na mim nianze kukutukna ili ujue kua sio peke yko unaejua matusi?

Kua mstaarabu stress zako usizihamishie jf!
 
Kikwetu mkuu kuambiwa utumie akili ni tusi kubwa kuliko hayo uliyoyaona hapo!! Maana kama sikutumia akili nisingekuwekea na hiyo sheria yenyewe hapo kwenye bandiko langu, ila wewe inawezekana hata sheria yenyewe ulikuwa hujawahi kuiona ulipoona tangazo tu ukakimbia mbio kuja kushitaki mahakamani!!! Sasa twende pamoja Kiongozi Mkuu, hivi uliwahi kuisikia SDL? (Yaani Skills Development Levy) hii mwajiri alikuwa analipa 6% ya gross salary kwa mwezi kwenye ofisi yake, hii wala sisi watumishi tulikuwa hatuisikii kama inatusathri chochote maana kama umesaini mkataba wa 1m hutakatwa chochote kwenye hiyo 1m yako. Sasa kama mwajiri atafanya manoeuvres yake huko wewe utalalamika nini wakati unajua kabisa umesaini mkataba kwa kiwango gani? Kwa ufupi athari ya hili kwa mtumishi limejificha sana na hutapaswa kulilalamikia.
 
pamoja na maelezo yako ila kiukweli ume nikwaza sana,nime jiskia vibaya na siku yngu hakika ume iharibu.

Mungu akusamehe kwa kweli!!
 
View attachment 256655

Wadau nimekutana na tangazo mahali fulani ambalo lina wahusu watumishi wote wa umma na binafsi.

Iko hivi kuna mfuko una itwa "Workers Compensation Fund" (WCF) uliondwa kwa mujibu wa sheria ya namba 20 ya mwaka 2008 section 5.

Ambapo section 74(6) na 75(1) inawataka watumishi wote wa serikali na wale waajiriwa wa mashirika binafsi kuchangia mfuko huo kutokana na tangazo la serikali Namba 169 la tarehe 1may 2015,watumishi wa serikali watachangia 0.5% ya pato lao na wa mashirika binafsi watachangia 1%

Michango hii itaanza 1july 2015.

My take:
Kwa wale mnaojua zaidi tunaomba ufafanuzi katika hili(labda mimi sijaelewa vizuri) maana linagusa maslahi ya watumishi amabao tuna lipa kodi kubwa (income tax) kila mwezi na tumekua tuki lalamika ipunguzwe.

According to section 60 of this Act, deducting such contribution from employees is a punishable offense!
 
Ahsante!

Nimerekebisha tu bandiko lako ambapo wewe umetafsiri waajiriwa wataanza kukatwa tofauti na tangazo linavyosema....

Nimekurekebisha tangazo linawahusu waajiri wala sijaingia kiundani kujadili kina nani wataathirika zaidi...

Ungetaka sema hayo ungebadili content ndugu...

Tuwe waungwana tunapisahihishwa.

Thank u buddy!! Tuko pamoja! Ila kwenye thread ungesoma vyema nilisha toa tahadhari ya kutaka ufafanuzi zaidi...nashukuru wadau mmetoa maelezo ya kutosha!
 
Ila Wadau msijifariji kwa vile inamgusa mwajiri. Kumbuka kimsingi Total employees' cost to the employer itaongezeka na hivyo your next increment will automatically be affected as a result of this tariff...meaning mwajiri atahakikisha his next year budget for employees ina-consider hiyo tariff na hivyo will only be willing to adjust your salaries in consideration of the additional employee related tariff . See the Act attached

You are right brother.

Employers would be forced to reduce salaries for employees so the the total salary budget remains the same. katika nchi zilizoendelea, hii ina maana ya kupunguza wage bill kwa kupunguza wafanyakazi.

Katika hali ya sasa ambapo tunatakiwa kuzalisha ajira nyingi tu, hii Act ni counter-productive! Employers need incentive to take in more workers na hii ni DISINCENTIVE! Sasa nashanga hawa watia nia wanaopiga debe la kuongeza ajira katika mazingira haya. Ni aibu.
 
Tatizo mleta uzi badala ya kupost hilo tangazo alafu aombe ufafanuzi,akaanza moja kwa moja kutia hofu kwa wafanyakazi,tena anasema wafanyakazi serikalini,hivi hilo tangazo hapo linaongelea wafanyakazi serikalini peke yake?,hivi wabongo sijui tukoje?mtu hujui kitu kisa umeokoteleza kibandiko sehemu basi unajifanya much know kweli!!.

Huo mfuko hautawaadhiri wafanyakazi hata kidogo,huo ni serikali itapambana na waajiri kama TRA inavyokusanya kodi,na michango yote toka kwa waajiri itakokotolewa na maafisa wa TRA wakati wa kukokotoa kodi ya mwajiri.Michango yote italipwa TRA then TRA ndio wataipeleka kwenye mfuko.
 
chinga umenichekesha sana. Kama lugha ya malkia haipandi ungebandika tu hiyo scan yako halafu ukasepa kimya kimya. hujui hata tofauti ya employers na employees. nakumbuka siku moja nilibishana na wewe humu kwenye mada fulani hivi. najuta muda wangu niliopoteza kubishana na mburula kama wewe.

View attachment 256655

Wadau nimekutana na tangazo mahali fulani ambalo lina wahusu watumishi wote wa umma na binafsi.

Iko hivi kuna mfuko una itwa "Workers Compensation Fund" (WCF) uliondwa kwa mujibu wa sheria ya namba 20 ya mwaka 2008 section 5.

Ambapo section 74(6) na 75(1) inawataka watumishi wote wa serikali na wale waajiriwa wa mashirika binafsi kuchangia mfuko huo kutokana na tangazo la serikali Namba 169 la tarehe 1may 2015,watumishi wa serikali watachangia 0.5% ya pato lao na wa mashirika binafsi watachangia 1%

Michango hii itaanza 1july 2015.

My take:
Kwa wale mnaojua zaidi tunaomba ufafanuzi katika hili(labda mimi sijaelewa vizuri) maana linagusa maslahi ya watumishi amabao tuna lipa kodi kubwa (income tax) kila mwezi na tumekua tuki lalamika ipunguzwe.
 
pamoja na maelezo yako ila kiukweli ume nikwaza sana,nime jiskia vibaya na siku yngu hakika ume iharibu.

Mungu akusamehe kwa kweli!!
Kiongozi Mkuu, naomba unisamehe kwa bure tu niko chini ya miguu yako!! Usikubali siku yako iharibike kirahisi hivyo huku karibia linazama! Niliwaka kwa sababu nilitukanwa kinyume na utaratibu wa jamii yangu Mkuu!!
 
Wewe ndo utumie akili pu.mba.vu kubwa wewe! Wakati mwajiri analipa SDL alikuwa anakukata moja kwa moja kwenye mshahara wako? Nunda likubwa wewe!! Ni kipi kibaya nilichokisema hapo juu mpaka uniambie nitumie akili mat.ako wewe? Kwenye hiyo sheria umeona kuna mahali wametaja mwajiriwa? Ngoja nikusaidie ng'wanakinya, kwenye mshahara wako hutakatwa chochote! Lakini hata kama utakatwa hilo pengo utalihisi kweli? Yaani 0.5-1.0% kwa mwezi? Wewe unayepokea 350,000/= na wewe utusumbue? Ukatwe tu maana ni 1750/= kwa mwezi pamb.afff!!

Msamehe mwenzio kinachotaiwa ni kueleweshana tu.

Na kwa mfuko huu Serikali wanatafuta njia ya kukusanya pesa. Mfano ulianzishwa mfuko wa BIMA YA AFYA. lakini haukuwa na masharti kwamba lazima kila mfanyakazi awe mwanachama. Hivyo si wafanyakazi wote waliojiunga na Bima ya Afya. Na hii ni kutokana na utendaji mbovu na lawama zinazohusu usimamizi wa mfuko huu. Huduma haziridhishi.

Sasa mfuko wa Workers Compensation unakuwa ni lazima kwa kila mfanyakazi kulipiwa kiwango kilichopendekezwa asilimia.

Na Bima kama ilivyo ni kwamba kutakuwa na vigezo vya utoaji pesa na urasimu utakaoambatana.

Hivyo kutakuwa na tofauti kwa KIWANGO KINACHOTOLEWA na KINACHOKUSANYWA. Hivyo mfuko utakuwa na pesa ya ziada.

Kuna faida kwa Serikali kupata pesa ka ajili ya kukamilisha Bajeti.

Lakini pia kuna faida kwa viongozi wetu wabadhirifu kwani watakukwa na access na mfuko hivyo kuchota pesa bila kikwazo. Itakuwa haina tofauti na EPA ACCOUNT ambapo wajanja waichungulia na kuziona kila siku zipo, hivyo wakatengeneza mazingira ya kuzitoa.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
chinga umenichekesha sana. Kama lugha ya malkia haipandi ungebandika tu hiyo scan yako halafu ukasepa kimya kimya. hujui hata tofauti ya employers na employees. nakumbuka siku moja nilibishana na wewe humu kwenye mada fulani hivi. najuta muda wangu niliopoteza kubishana na mburula kama wewe.

hivi kweli ndugu yangu Abunuas umewaza ukapata jibu kua Chinga One hajui tofauti kati ya employer na employees? stop kidding bro!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom