Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,462

Wadau nimekutana na tangazo mahali fulani ambalo lina wahusu watumishi wote wa umma na binafsi.
Iko hivi kuna mfuko una itwa "Workers Compensation Fund" (WCF) uliondwa kwa mujibu wa sheria ya namba 20 ya mwaka 2008 section 5.
Ambapo section 74(6) na 75(1) inawataka watumishi wote wa serikali na wale waajiriwa wa mashirika binafsi kuchangia mfuko huo kutokana na tangazo la serikali Namba 169 la tarehe 1may 2015,watumishi wa serikali watachangia 0.5% ya pato lao na wa mashirika binafsi watachangia 1%
Michango hii itaanza 1july 2015.
My take:
Kwa wale mnaojua zaidi tunaomba ufafanuzi katika hili(labda mimi sijaelewa vizuri) maana linagusa maslahi ya watumishi amabao tuna lipa kodi kubwa (income tax) kila mwezi na tumekua tuki lalamika ipunguzwe.