Lazima maandalizi yafanyike japo wakati wa mechi kuna kuchafuka kwa lazima lakini maandalizi muhimu.Hivi kwanini siku za mechi hasa zile spesheli maandalizi huwa ya uhakika?
mimi mmoja wao aiss...sasa yale mabaki nayafanyaje huko kwenye meno wakati nakuwa naenda kukutana na watu!Mnaopenda kupiga mswaki mara baada ya kula pitieni hapa kuna ushauri unawahusu
huo muda upo sasa ndugu yangu...!60minutes nimekaa tu nasubiri kuswaki?!Swaka baada ya dk 60