ki week end zaidi

ki week end zaidi

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
article-2631759-1DF7AD0900000578-14_964x641.jpg
 
Ooyooo samahani hapa leo napita kwa mbali nisije nikawambiwa nina husda na mimi ni mgeni kutoka mkoa wa unguja na ugeni wangu ndio nimekuja kuwafundisha wana J F lakini wanaume huwa hawaonishani vidoli na kama mipasho ni bora tukaenda dodoma kwa siku laki tatu tena bila ya jasho la makalio kutoka na ukweli unauma RTZ
 

Bongo kukiwa na sehemu ya kujiachia hivi utasikia wenye midomo mipana wanapiga kelele, "ooh siyo maadili yetu, ooh hiyo sehemu ina hamasisha kuchunguliana, ooh inaharibu watoto wetu. Yaani nchi nzima imefanywa ina watoto wasiojua lolote! Lakini haohao wapiga kelele ndiyo wanapanda pipa kila mara kwenda kujirusha sehemu kama hizo huko mbele!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom