Ki pulpe zaidi

Ivi hii ndio pulple? Jamani kutofautisha rangi kwangu shida kdg
 
Hapa nna shaka kama chameleon atasalimika! :bump2:
 
duh, ukitoka hiko chumba mwanga wa jua utakutesa sana
 
Jamani msizitaje hizo zambarau msije ntoa roho yangu maana sina pa kuzipata lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Panda mtiwe baada ya miongo kadhaa nawe utaanza zivuna...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…