Kheri James, achana na sisi kabisa

Kheri James, achana na sisi kabisa

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,930
Reaction score
13,333
Tumeshakuwa sugu wa kutekwa,kufungwa,kupigwa,kubambikwa kesi na kuuawa,hayo ndo maisha yetu wapinzani wa Tanzania.

Kheri James wakati Magufuli akiwa hai ulisimama hadharani kwa ujasiri mkubwa ukasema huku Taifa na Dunia wakishuhudia,ulisema kwamba,sasa hivi Tundu Lissu mtamchoma sindano ya sumu ndo kilichobakia.

Baada ya Mungu kumchukua Magufuli, hofu imekujaa,unajiona wazi huna kinga hasa baada ya Mama yetu kugoma kukujibu sms mbili ulizomwandikia kumpongeza baada ya kuapishwa.

Mama anakujua nje ndani, hakupenda kabisa Tabia zenu za kikatili vijana wa UVCCM jinsi mlivyokuwa mnawa treat wapinzani kama wanyama.

Tuliwaonya sana kuwa kuna kesho lakini hamkusikia,eti leo unataka maridhiano, na nani?

Endelea ulipoishia na wenzako,sisi mtuache na maisha yetu.
 
Tumeshakuwa sugu wa kutekwa,kufungwa,kupigwa,kubambikwa kesi na kuuawa,hayo ndo maisha yetu wapinzani wa Tanzania.
Kheri James wakati Magufuli akiwa hai ulisimama hadharani kwa ujasiri mkubwa ukasema huku Taifa na Dunia wakishuhudia,ulisema kwamba,sasa hivi Tundu Lissu mtamchoma sindano ya sumu ndo kilichobakia.
Baada ya MUNGU kumchukua Magufuli , hofu imekujaa,unajiona wazi huna kinga hasa baada ya Mama yetu kugoma kukujibu sms mbili ulizomwandikia kumpongeza baada ya kuapishwa.
Mama anakujua nje ndani,hakupenda kabisa Tabia zenu za kikatili vijana wa UVCCM jinsi mlivyokuwa mnawa treat wapinzani kama wanyama.
Tuliwaonya sana kuwa kuna kesho lakini hamkusikia,Eti leo unataka maridhiano,na nani?

Kama mmeshakua sugu sasa mkipigwa msianze kelele zenu
 
Anatakiwa afungwe huyo mpuuzi haraka sana
 
Mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan, naona ana Hekima na utulivu mkubwa sana, zaidi ana uvumilivu

Nakumbuka pana kauli yake moja amewahi kusema "si lazima kusema kwa ukali ndio ueleweke bali unaweza ongea kwa upole au taratibu na ukaeleweka na kuogopwa"

Sasa kwa kauli hiyo moja tu inatosha kumuelewa Mama ni mtu wa aina gani

Kifupi anapenda kufuata utaratibu na uwazi na sio unafiki na uzandiki.
 
Back
Top Bottom