Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
- Thread starter
-
- #41
Hivi kulikuwa na umuhimu gani hao watoto kuvaa nguo fupi hivyo!!! Maana hizi fujo huwa wanaziazisha wenyewe halafu na mama yao anawacheki tu. hatutaki lawama sisi!!.
hao ni machangu doa aka makahaba wameshazoea kujiuza na mama yao anawafanyia promo kunako steji.
Nimepima mara ya saba mwezi wa nne.
kha unapenda mpododo, kashapendwa na wengi kabla yako.Mi huyo mwenye mpododo mi hoi jamani hivi anaishi pande zipi nianze kumnyatia.
Ngoja nikaiscan halafu nitawabandikia hapa.
piga starehe mwana hako ka ugonjwa mbona kawaida tu kama mafua
usiniambie ummu kulthum huwa wanajiuza mitaa ya wapi
mtaa wa FB.
Kupima mwisho mara moja, zaidi ya hapo unacheza.
Kweli dunia imeisha!! Huo mvao mbele ya mama. Na mama anafurahi tu na wametoka wote nyumbani kwao- haka kama ni kwenye muziki / starehe. Yes like mother like daughter. Nadhani na watoto hao pia watakuwa na watoto wenye baba tofauti. mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
Hako ka kulia mbona kama bado ni kakifaranga?? Huyo wa kushoto katulia kimtindo...