jamani naombeni kazi nina uzoefu wa kutosha wa kufundisha kwenye mazoezi ya Yoga.Hii ni moja ya picha ambazo nilikuwa nikiwafundisha wagema ulimbo fulani hivi.
Nalog off
Haya shost na ww pia unaweza kwenda adoado!

Huyo Washawasha mwalim huyo mie simtaki..
Wala usijali utanambia tu wataka rangi na brand ipi...hahah
Usijitoe bi dada nitakuwa sina watu wa kuwafundisha,tukitoka kazini pale saluni,halafu ndio tunakwenda kwenye mazoezi ya Yoga.Hahahahahaha kheir nimejitoa mapemaaaa...
Hilo ni zoezi namba 3 la kwenye Yoga,mimi ni mwalimu mzuri kabisa wa mazoezi haya.Llloooh, una balaaa
Mbona mimi ninafundisha vizuri tu,we njoo mazoezini we mwenyewe utayapenda na unaweza kuumwa pale usipohudhuria.Huyo Washawasha mwalim huyo mie simtaki..
Nalog off
Mbona mimi ninafundisha vizuri tu,we njoo mazoezini we mwenyewe utayapenda na unaweza kuumwa pale usipohudhuria.
Nalog off
Sikuji wananiogopesha mwenzio
Mazoezi haya ndio yanakufanya uwe mwepesi zaidi.Sikuji wananiogopesha mwenzio
Nalog off
Mazoezi haya ndio yanakufanya uwe mwepesi zaidi.
Nalog off
Labda niwe kama sufi tena...mtu mwenyewe nna kg 2 lol