Ni kweli gym muhimu kwa afya,,
Hapa kama sio kuchomeana, ningeweka picha yangu muone naonekanaje!
cherst
Back
Showder
Mkono wa nyuma
Mkono wa mbele
Six backs
Miguu
ki kweli napendeza sio siri.
he he....halafu kwa nini yule chunusi alimkumba Madame B tulipokuwa pale chumvini....?
Alisahau kuacha sadaka pale kwenye tundu pangoni.he he....halafu kwa nini yule chunusi alimkumba Madame B tulipokuwa pale chumvini....?
Alisahau kuacha sadaka pale kwenye tundu pangoni.
Kama kuna yeyote mwingine kati yenu hakutupia kitu pale basi mizimu itakufuata hadi kwenu Ngaleloo, itakudai hadi utimize.
Wajanja tuliweka juice za 'embe pale!
Halafu na wewe Blaki Womani ulisema unatafuta 'mic' ya kuimbia, ni wimbo gani huo eti?eeeh hakusoma hadidu za rejea afazali nilikuwa na asali
Halafu na wewe Blaki Womani ulisema unatafuta 'mic' ya kuimbia, ni wimbo gani huo eti?
he he....halafu kwa nini yule chunusi alimkumba Madame B tulipokuwa pale chumvini....?
We Me niko fit..........
Achana na watu8 ataishia kuku'dipu ili umpigie, si unawajua mapromoter wa Bongo?hahahaaaa nawe hukumbuki nilikaribia kutoa singo R&B kwa ufadhili wa watu8
Tulikuwa huku............
Alisahau kuacha sadaka pale kwenye tundu pangoni.
Kama kuna yeyote mwingine kati yenu hakutupia kitu pale basi mizimu itakufuata hadi kwenu Ngaleloo, itakudai hadi utimize.
Wajanja tuliweka juice za 'embe pale!
Haya sasa turudi kwenye mada, gym itakuwa wapi, Chuga, Chuda, ama jirani na Amboni Caves?
Mi kwa maoni yangu iwe Dar ili Madame B apunguze visigino.