Kaka Pekee
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 336
- 567
Upo na Ubavu, Mpenzi, Mwandani wako au rafiki yako wa kike kwenye mahusiano halafu ikitokea hatua hii....kinachofuata kitafurahisha Wallahi🙆🏻♂️🙆🏻♂️
Punguza wivu...alikuwa ameipenda fashion ya nguo za huyo binti hapo alikuwa anafikiria akununulie na wewe😏Na cku hiyo hiyo ingekuwa mwisho
kweli kabisaHawa watu wanapendeza tu wakiwa na nguo
Ewaaa haswaaa hapa ndo penyeweHamna Chura hapo,mie siwezi kugeuka kwa huyo demu naona minyama tu na sio KOTA.
View attachment 909899
Hahahaaah!unabonyeza bonyeza nyanya kisha unachagua bilinganya!Yupo na mwanamke mzuri anaangalia mwanamke wakawaida
Yupo na mwanamke mzuri anaangalia mwanamke wakawaida