Ngoja wajeNyau wa Dar huyo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nani hao...nyau wa Dar? Uwii usiniambie wanaingiaga hadi jf[emoji125] [emoji125]Ngoja waje
Hajaharibiwa mkuu tabia ya kuiga kila wanachokula nyumbani na yeye anataka angenyimwa hapo angepiga kelele kweliwamemuharibu
tutake radhi tafadhali, upareni hatuna nyau wa hivyo: UTEGHURUKAnyau wa upareni huyo..
Na Dar mwaka huu wanalo.Nyau wa Dar huyo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Inawezekana ni akina khantwe labda!!Nani hao...nyau wa Dar? Uwii usiniambie wanaingiaga hadi jf[emoji125] [emoji125]
Hao nyau eeh?Na Dar mwaka huu wanalo.
Hahahaa mkuu usinichokoze hao nyau ndo kina khantweInawezekana ni akina khantwe labda!!
iye mi nte mvurushi..tutake radhi tafadhali, upareni hatuna nyau wa hivyo: UTEGHURUKA