Kha! Mke wake na shogae | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kha! Mke wake na shogae

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eeka Mangi, Jun 25, 2012.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni asubuhi hii. Umbea nao hauniachi!
  Ni hivi! Jamaa yangu kaja hapa anatweta ka vespa ama tukutuku vile!
  Ananisimulia yalomkuta over weekend! Yeye na mkewe walikuwa wamealikwa kwenye harusi nje ya huu mji tukaao. Kukawa kuna shoga yake na mkewe ambaye wanamchukulia kama a very close family friend. Huyo mdada ana mtoto mmoja na hajaolewa. Wamekuwa naye kwa kitambo sasa na anayo kazi nzuri tu. Sasa hii mambo ya kuchangia harusi huku uswahilini naye huyu shoga wa mkewe akawa naye kachangia. Siku mbili kabla ya harusi shoga wa mkewe akaomba aongozane nao kwenye gari yao maana haina maana kwenda na gari mbili while wanaelekea kwenye shughuli moja. Wakamkubalia. Wakasafiri! Wakapanga hoteli moja, jamaa na mkewe double self moja la maana tu, yule mdada akachukua single yake fresh! Sasa basi ile siku ya harusi mwanaume si akawaaga kuwa wanatakiwa ukumbini mida ya saa nne hivi maana naye ni mmoja wa wanakamati! Hotelini akabaki mkewe na yule dada. Akaenda ukumbini kule mambo yakaenda chapchap jamaa akaamua kurudi hotelini kujipumzisha mpaka mida iende.
  La haula alichokuta hakuamini macho yake! Mke wake na shoga yake walikuwa kama walivyozaliwa! Wanapeana mahaba ka vichaa vile. Jamaa hakusema kitu wakaendelea mpaka walipomaliza yeye kasimama tu anawaangalia. Kuja kushtuka jamaa keshawaona.
  Unajua tena fumanizi nifumanizi tu! Ooooh shetani tu, haturudii tena! Mambo kibao! Jamaa akaingia akachukua nguo zake na wala hakusubiri harusi na kurudi kwenye mji wake. Mke anaambiwa naye karudi kwa wazazi wake. Yule shoga wa mkewe hajaonekana mtaani kwao.
  Jana jumapili mke akatuma dada yake mkubwa aje amuombee samahani! Jamaa akamuuliza dada yake kwani kakosa nini? Eti dada mtu hata hakuambiwa kosa lenyewe!
  Jamaa yuko njia panda maana bado ana kichefuchefu mpaka sasa maana alimshuhudia mkewe akizama chumvini laivu hali kadhalika yule shoga yake naye alikuwa amezama chumvini kwa mkewe pia.
  Sasa afanyeje! Msaidieni jamani!
   
 2. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  hii ni mbaya sana still she is ua wife....achukue muda kufikiria lakini nasihi zaidi kwamba ailinde hyo ndoa,we are all human being sona tuna udhaifu katika maeneo mbalimbali ya maisha yetu,hamna malaika ambao si dhaifu wa kuoa,ni sisi wanadamu dhaifu,love has never failed any one,embu upendo ukatawale katika hili pia
   
 3. ENDLESS

  ENDLESS Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani sijui kama ndio uzungu huo tunaiga ama laa maana siku hizi kuna wimbi kubwa la wanamama wasagaji mm ningekuwa ni mume ukweli nisingemsamahe cause nasikia mtu anayependa huo mchezo haachi kirahisi but ni mkewe wakae chini wazungumze
   
 4. G

  GTesha JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Please mpe pole yangu ya dhati huyo best yako
   
 5. k

  kisukari JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  mmmh,hiyo kali.umeshakuwa mke bado unaendekeza mambo hayo?huyo mume atakuwa na wasiwasi,mke akiaga anaenda kwa shoga,atahisi mengine.inavyoonyesha huyo mke anakunwa na mwanamke mwenzie vilivyo,huyo mume ni kama kivuli tu.huyo bwana ni vizuri akae azungumze na mke wake,na mke awe mkweli kwa nini anafanya huo uchafu
   
 6. M

  MWananyati Senior Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli hio ni balaa kubwa.
  Kwanza nampa jamaa hongera kwa kuweza kuangalia tukio zima bila kuleta papara. Binafsi, kwa namna ilivyosimuliwa, yaani ni kama nilikua nachek zile blue movie zenyewe, tena za mablack.

  Kile kitendo kweli kinaleta hasira kwa vile tunaamini mtu akishakua mkeo/mumeo, ni wewe mke/mume mwenye mamlaka yote ya kingono kwa mwenzio. Lakini kuna kitu kinaitwa uzinifu. mzinzi ni yule anayetoka kwenye ndoa kufuata kitendo cha 'ndoa' nje ya utaratibu. hii ni tofauti na hali ya kuwa mwasherati. Kwa wale wanawake wawili mmoja ni mzinzi mwingine ni mwasherati. Nani kamshawishi mwenzie wanajuana wenyewe.

  Ningekua mimi kwa hali ile niliyoikuta, kwanza ningeonesha kufurahishwa na kile kitendo wanachofanya, na kuwasisitiza waendelee tu huku nikiwauliza masuala mawili matatu yatayohusiana na namna wanavofurahia, walivyoanza, kwanin wanafanya ivo...
  Pili ambacho kingefuatia ni kufanya nao ngono wote wawili washirikiane tena kwa upendo. nia sio kuwakomoa wao au mke wangu. Ni ili na mie nipate furaha. Kiafya haitakua na shida kwa sababu kama ni magonjwa manake washaambukizana wao kwa wao.

  na hapo wote zaidi ya kuwa tutakuwa ni washenzi, pia tutajipatia dhambi za kutosha kwa vile hako kamchezo hakataishia hapo. yaani itakua ni kila siku au kila mara ninapohitaji hadi pale mke wangu ataposema sasa imetosha, tuache hatarudia tena.

  sas jamaa kakimbia,then anataka ushauri gani zaidi ya kuamua kusuka au kunyoa? muache mkeo au kaa nae.hakuna zaidi ya hapo. Lakini hajachelewa, mamtafute mkewe amsimulie kuhusu hivyo visa vyao, then amuite shoga yake wafanye OPTION 2.
  hakika hatachanganyikiwa hata kidogo.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa hamnazo, si ndio na yeye angeingia ikawa threesome ya nguvu. Mbona raha tu.
   
 8. awp

  awp JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hamtoshelezi, isitoshe jamaa may be hapendi kwenda chumvi wakati dada ni starehe yake teh teh!
   
 9. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  hii dunia inaelekea wapi? mbona ni kinyaa na uchafu kha! mmmhhh LORD HAVE MERCY!
   
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  lakini awp kutoka, kucheat si solutions, kama anamiss amwambie mumewe kuwa nataka uende chumvini tena ikiwezekana mpaka magadi uyalambe! sasa kukaa kimya halafu kucheat, haiswii jamani kha!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ukweli ni huu, mwanamke akishazoea kusagwa ni ngumu kuacha na hata mume atakuwa kama formality tu. Kwa nini nasema hivi?

  Kiuhalisia ni kuwa mapenzi ya wanawake kwa wanawake yanakuwa ni makali sana kwa sababu yana involve michezo mingi ambayo inamtia mwanamke nyege za kutosha hadi kufikia kileleni. Tofauti na ilivyo na wanawake wanaposagana, wanaume wengi wanakuwa na haraka na wengine kuona kinyaa hasa kama jamaa alivyosema kwenda uvinza na mengineyo.

  Kiukweli, amsemehe tu mkewe ni uhayawani tu lakini kwa jinsi nifahamuvyo mapenzi hayo ya wanawake wasagaji kila akikumbuka mkewe atakuwa anapata mawenge sana hasa kama jamaa ufanisi siyo mkubwa kunako fani.
   
 12. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,842
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Hii ni noma kwa kweli. Duh! We acha tu!
   
 13. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,646
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Aaaah huyu jamaaa kakosea kweli alitakiwa aiingie katikati yao kisha awape kitu mwanamke anastahili kutoka kwa mume zamu kwa zamu wote wawili mpaka asubuhi hakuna cha harusi wala nini itisha room service asubuhi warudi zao mjini kimya kimya.lakini hajachelewa awaite wote wawili kwa ajili ya usuluhishi na iwe ni moja ya masharti ni kuwashughulikia wote wawili ile kisawa sawa.
   
 14. cmoney

  cmoney JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
 15. m

  maumbo Member

  #15
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmmmmmmmmmmmmmh kama ningekuwa mimi wala nisingeangaika ni kitendo cha kuwaambia wote nipige mzigo mmoja baada ya mwingine huku kila mmoja akishuhudia mwenzie ninavyomuonyesha mambo alaf kazi mtindo moja nawambia kuanzia hapo kila mmoja apange zamu ya lini kwa nani na lini kwa nani nahisi dawa tosha maana hawatakuwa na wivu kwa sbb wenyewe siwanapendana kwaiyo itakuwa haina mbaya ni hayo tu
   
 16. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,703
  Likes Received: 1,885
  Trophy Points: 280
  mh! haya ya ukweli? yapo hapa duniani? dat minz huyo mkewe alianza toka huko nyuma either nyumbani kwao kabla hajaolewa, shule za boarding n.k....no way out hapo, kama anavumilia hyo tabia ya mkewe, abak nae...kama haipendi amuache 100%
   
 17. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Pamoja na ushauri wenu nikiwa njiani kwenda kumwona jamaa ili nimmegee haya maushauri naskia mkewe kanywa sumu! Hii imetokea baada ya ndugu zake kumuuliza kwani kafanya nini kwa mumewe. Yule shoga yake hajaonekana mpaka sasa! Nitawajuza yatakayojiri huko sipitali!
   
 18. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mi sijaelewa hizi habari umezipataje. Yani jamaa alikua anakupa updates? alivo rudi akakuhadithia alichokiona kwa details, halafu tena dada mtu alipokuja kuomba msamaha akakuita tena na kukupa updates?
   
 19. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  mshahara wa dhambi daima ni mauti! 'nilikushawishi katu sikukulazimisha, dhambi umetenda mwenyewe, jibu mashtaka mwenyewe' ndivyo huwa shetani husema hivyo baada ya kutushawishi! mmhhh atubu kwa MUUMBA JUU, MAJUTO YA KWELI ILI AWE HURU! Then amuombe mumewe msamaha!
   
 20. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kwamba mimi ni mwanamke nimependa sululu yako, l am sure yule dada mwingine hatapenda lakini ndio adhabu ifaayo. Threesome lol!

  By the way kipi kinauma zaidi, kumfumania mkeo akiwa anaDO na mwanamke mwenzake au na mwanaume?
   
Loading...