Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,175
- 43,936
Mihamala ❎mihamala
Malizia kabisa,aaacha waisome namba eeeeh, kijani mbele kwa mbeleeee.Mbele kwa mbele
Hivi miamala na mihemko ni ndugu?Mihamala ❎
Miamala ☑️
Mkuu ujue ninyi mnasababisha hata kupanda kwa miamala kwa lugha ya mitaani jua jukwaani
Wanyonge katika ubora wao,tena unyonge unaopewa nguvu kila kukichaWanyonge kama Wanyonge
Kama ni uzalendo na ukaonekane kwa wote na sii kwa ubaguzi.Tatizo watanzania wengi sio wazalendo, hii kodi itahamasisha uzalendo !
Duh... sijui ni ugeugeu au ni ufyatu... hazikupita siku nyingi watu walisema lugha ya "wanyonge" haipo. Na kuwa ni lugha mbaya... mara hii watu wameanza kusema kuna wanyonge? kha!! Watu walikuwa wanatakiwa kuwa wazalendo na waoneshe uzalendo; sasa wanalipishwa kodi ya "uzalendo" wanang'aka! uzalendo kumbe mchungu...
Sijui kwanini isiwe kodi ya "kuwa Mtanzania"? Binafsi sijaielewa na sijataka hata kuchukua muda kuielewa... kama uzalendo unaweza kuundiwa kodi kwanini tusije na kodi ya wanaozungumza sana.. halafu ianzie Bungeni... Halafu iwepo kodi ya watu wanaosema "serikali imepanga" kila anayesema hivi analipa kodi. Au kodi ya watu wanaosema "Serikali imedhamiria kujipanga"... au "Serikali iko mbioni kuanzisha mchakato"...
Labda tuwe na vikodi vingine vingine vidogo vidogo maana hatujui kama kila anayelipa mihamala hii kweli ni mzalendo na si fisadi... AAh! labda tuwe na kodi ya wasio mafisadi (hili neno sitashangaa litaanza kurudi tena). Mafisadi...
Mafisadi Wazalendo? Well... halafu tunawalima kodi... Ila labda liwekwe punguzo la "wanyonge" kama hawa watu bado wapo Tanzania...
Ndugu yangu Wakudada,sijasikia neno lako juu ya tozo za kizalendo,kheri lakini.Ha ha wengi wao midomo imepinga kwa kukosa msimamo
Haya ni matapeli ya nchi hayana loloteDuh... sijui ni ugeugeu au ni ufyatu... hazikupita siku nyingi watu walisema lugha ya "wanyonge" haipo. Na kuwa ni lugha mbaya... mara hii watu wameanza kusema kuna wanyonge? kha!! Watu walikuwa wanatakiwa kuwa wazalendo na waoneshe uzalendo; sasa wanalipishwa kodi ya "uzalendo" wanang'aka! uzalendo kumbe mchungu...
Sijui kwanini isiwe kodi ya "kuwa Mtanzania"? Binafsi sijaielewa na sijataka hata kuchukua muda kuielewa... kama uzalendo unaweza kuundiwa kodi kwanini tusije na kodi ya wanaozungumza sana.. halafu ianzie Bungeni... Halafu iwepo kodi ya watu wanaosema "serikali imepanga" kila anayesema hivi analipa kodi. Au kodi ya watu wanaosema "Serikali imedhamiria kujipanga"... au "Serikali iko mbioni kuanzisha mchakato"...
Labda tuwe na vikodi vingine vingine vidogo vidogo maana hatujui kama kila anayelipa mihamala hii kweli ni mzalendo na si fisadi... AAh! labda tuwe na kodi ya wasio mafisadi (hili neno sitashangaa litaanza kurudi tena). Mafisadi...
Mafisadi Wazalendo? Well... halafu tunawalima kodi... Ila labda liwekwe punguzo la "wanyonge" kama hawa watu bado wapo Tanzania...
CCM itaua watu aseeHivi miamala na mihemko ni ndugu?
Maana nilimsikia jamaa anasema Ana mihemko katuma muamala halafu aliyetumiwa kazima simu
Mimi hapa sijawahi kuwa mzalendo hata siku moja, cha ajabu wananikata hiyo kodi ya uzalendo! Huu ni uonevu kabisaTatizo watanzania wengi sio wazalendo, hii kodi itahamasisha uzalendo !
Mdhamini mkuu wa haya mambo ni JPMChanzo Cha Matatizo ni CCM na katiba ya mwaka 1977