Sio bure tuna taifa ambalo hata Graduate wanawaza biashara za uchuuzi, yaani hata Model zetu za elimu ni za kijinga sana English ndio kipimo cha Ubora wa elimu
Mataifa mengi sana English ni language ni somo, sasa Bongo english ndio kipimo cha akili za mwanafunzi.