C connections JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 2,775 Reaction score 3,842 Jul 12, 2024 #1 Mgahawa Maarufu duniani Kwa ajili ya Wanyonge KFC unatarajia kufungua Tawi jipya Katavi (Mpanda Mjini) kutokana na mahitaji (demand) ya huduma zao. P Wafipa hatimae kilio chenu kimesikika.
Mgahawa Maarufu duniani Kwa ajili ya Wanyonge KFC unatarajia kufungua Tawi jipya Katavi (Mpanda Mjini) kutokana na mahitaji (demand) ya huduma zao. P Wafipa hatimae kilio chenu kimesikika.
daydreamerTZ Senior Member Joined Sep 26, 2020 Posts 147 Reaction score 237 Jul 12, 2024 #2 Aise balaa tupu, kabla hata ya mwanza
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,708 Jul 12, 2024 #3 Ha haaa acheni utani, yaani wakulima watoke shambani, na wanahitaji vyakula vizito, alafu aende kula fast food or junk food? KFC watafunga haraka sana huko Katavi, sbb wateja kwanza hawawezi bei zake na food type..!!
Ha haaa acheni utani, yaani wakulima watoke shambani, na wanahitaji vyakula vizito, alafu aende kula fast food or junk food? KFC watafunga haraka sana huko Katavi, sbb wateja kwanza hawawezi bei zake na food type..!!
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 3,984 Reaction score 10,386 Jul 12, 2024 #4 Katavii
mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,082 Reaction score 4,235 Jul 12, 2024 #5 Katavi kweli? Si bora mbeya? Watu 500k tu, wengi wakulima KFC watapiga hela kweli? Watu huko si washamba sana, huko si porini?
Katavi kweli? Si bora mbeya? Watu 500k tu, wengi wakulima KFC watapiga hela kweli? Watu huko si washamba sana, huko si porini?
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,522 Jul 12, 2024 #6 Katavi ya Kijani na ahadi ya KFC
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,102 Reaction score 181,129 Jul 12, 2024 #7 Bora hata wangefungua Songea Town, ingekua
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,885 Reaction score 8,478 Jul 12, 2024 #8 KFC itabid wauze miguu na vipapatio tu huko labda na utumbo, Wakiforce mapaja na vidali hawatoboi mwezi.
KFC itabid wauze miguu na vipapatio tu huko labda na utumbo, Wakiforce mapaja na vidali hawatoboi mwezi.
MgosiMnubi JF-Expert Member Joined Dec 6, 2022 Posts 1,159 Reaction score 1,844 Jul 12, 2024 #9 FatherFigure said: KFC itabid wauze miguu na vipapatio tu huko labda na utumbo, Wakiforce mapaja na vidali hawatoboi mwezi. Click to expand... Umeongelea mtaani kwetu Hahahahahaha
FatherFigure said: KFC itabid wauze miguu na vipapatio tu huko labda na utumbo, Wakiforce mapaja na vidali hawatoboi mwezi. Click to expand... Umeongelea mtaani kwetu Hahahahahaha
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,885 Reaction score 8,478 Jul 12, 2024 #10 MgosiMnubi said: Umeongelea mtaani kwetu Hahahahahaha Click to expand... Mtaa gani huo mkuuš¤£
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,694 Reaction score 16,320 Jul 12, 2024 #11 connections said: Mgahawa Maarufu duniani Kwa ajili ya Wanyonge KFC unatarajia kufungua Tawi jipya Katavi (Mpanda Mjini) kutokana na mahitaji (demand) ya huduma zao. Wafipa hatimae kilio chenu kimesikika. Click to expand... Fyuuu ā
connections said: Mgahawa Maarufu duniani Kwa ajili ya Wanyonge KFC unatarajia kufungua Tawi jipya Katavi (Mpanda Mjini) kutokana na mahitaji (demand) ya huduma zao. Wafipa hatimae kilio chenu kimesikika. Click to expand... Fyuuu ā
MgosiMnubi JF-Expert Member Joined Dec 6, 2022 Posts 1,159 Reaction score 1,844 Jul 12, 2024 #12 FatherFigure said: Mtaa gani huo mkuu𤣠Click to expand... Mtaani kwetu mku Eti mtu akila kidali kwa buku jero na kipaja kwa buku ndo MNENE hahah Ivi vingine ni jero jero tuuh
FatherFigure said: Mtaa gani huo mkuu𤣠Click to expand... Mtaani kwetu mku Eti mtu akila kidali kwa buku jero na kipaja kwa buku ndo MNENE hahah Ivi vingine ni jero jero tuuh
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,885 Reaction score 8,478 Jul 12, 2024 #13 MgosiMnubi said: Mtaani kwetu mku Eti mtu akila kidali kwa buku jero na kipaja kwa buku ndo MNENE hahah Ivi vingine ni jero jero tuuh Click to expand... Kidali buku jero ni cha panya au, kipaja cha buku ni cha panzi? Acheni masikhara mkuu tuoni pesa mle vizuriš¤£
MgosiMnubi said: Mtaani kwetu mku Eti mtu akila kidali kwa buku jero na kipaja kwa buku ndo MNENE hahah Ivi vingine ni jero jero tuuh Click to expand... Kidali buku jero ni cha panya au, kipaja cha buku ni cha panzi? Acheni masikhara mkuu tuoni pesa mle vizuriš¤£
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,790 Jul 12, 2024 #14 Wataifunga tu kwa kukosa Wateja
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,330 Reaction score 88,488 Jul 12, 2024 #15 Mapaja ya kuku wa KFC ni balaa na nusu.
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 21,583 Reaction score 42,896 Jul 12, 2024 #16 connections said: Kwa ajili ya Wanyonge KFC Click to expand... Kumbe KFC ni kwaa ajili ya wanyonge? Asante kwa kutuelimisha na hili
connections said: Kwa ajili ya Wanyonge KFC Click to expand... Kumbe KFC ni kwaa ajili ya wanyonge? Asante kwa kutuelimisha na hili
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,163 Reaction score 11,822 Jul 13, 2024 #17 hiyo KFC kwa ajili ya wanyonge labda kwa Ulaya, Ila hapa ni kwa ajili ya watu wenye uwezo, kipande cha kuku hata robo hakifiki unauziwa buku 10.
hiyo KFC kwa ajili ya wanyonge labda kwa Ulaya, Ila hapa ni kwa ajili ya watu wenye uwezo, kipande cha kuku hata robo hakifiki unauziwa buku 10.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,600 Jul 13, 2024 #18 Hizo kuku kweli watazipenda... Labda kama wataifanya sehemu ya kuwenda na ka-date... Cc: Mahondaw
C connections JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 2,775 Reaction score 3,842 Jul 13, 2024 Thread starter #19 Azarel said: Wataifunga tu kwa kukosa Wateja Click to expand... Walishafanya Market survey
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 58,972 Reaction score 69,352 Jul 13, 2024 #20 Galagaja