Keupe kapewe heshima na hadhi yakeโ—โ•๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จ

Keupe kapewe heshima na hadhi yakeโ—โ•๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จ

Usikaseme vibaya kwakuwa hukapendi
Ama kamekushinda
Au kamekuzingua
Na pengine ulizidisha kipimo kwenye offer
Na au ulitaka kuleta upinani wa kuonesha umwamba ukakameza kavukavu gudugudu wakati msosi ulihemea๐ŸคฃView attachment 3686410View attachment 3686411View attachment 3686412
20261010_233350.jpg
 
SIMBA atabaki kuwa SIMBA... Katambuga lina majina mengi
 
 
โ€ข Ukosefu wa Maji Mwilini (Dehydration):
Kutokunywa maji ya kutosha au kupoteza maji mengi mwilini (kwa kuharisha sana au kutapika) kunaweza kusababisha figo kufeli ghafla.

โ€ข Unywaji wa Pombe Kupita Kiasi na Uvutaji Sigara:
Tabia hizi huongeza shinikizo la damu na kuweka sumu nyingi mwilini zinazozilemea figo.
Na ukipiga umeshiba mimbuzi safiii au misatoo na supu zitoo lile hata kulewa unadelay hivii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom