Keupe kapewe heshima na hadhi yake❗❕📌🔨

Keupe kapewe heshima na hadhi yake❗❕📌🔨

Zanzi yenyewe tayari ina konyagi ndani
IMG_20261008_194417.jpg
 
Naona ongezeko limekua kubwa sana pengine zile pombe feki ndio sababu kubwa au chanzo kikubwa ni kipi kwny hizo asilimia zingine 90?
• Ukosefu wa Maji Mwilini (Dehydration):
Kutokunywa maji ya kutosha au kupoteza maji mengi mwilini (kwa kuharisha sana au kutapika) kunaweza kusababisha figo kufeli ghafla.

• Unywaji wa Pombe Kupita Kiasi na Uvutaji Sigara:
Tabia hizi huongeza shinikizo la damu na kuweka sumu nyingi mwilini zinazozilemea figo.
 
Kuna sehemu nilipita nikakuta walevi wanabishana eti ni lazima wanywe mpaka huyo jamaa aliyeweka mikono juu aishushe chini hapo kwenye nembo ya konyagi

Nikasema kimoyomoyo hawa wanacheza na afya zao
 
Kuna sehemu nilipita nikakuta walevi wanabishana eti ni lazima wanywe mpaka huyo jamaa aliyeweka mikono juu aishushe chini hapo kwenye nembo ya konyagi

Nikasema kimoyomoyo hawa wanacheza na afya zao
Kunywa ukila umeshiba nyama hasa yenye mafuta sio shida Sana
Na baada ya hapo wakinywa maji mengi bado sio ishu

Swali ni jee... Wanazingatia masharti ya unywaji?
 
Kunywa ukila umeshiba nyama hasa yenye mafuta sio shida Sana
Na baada ya hapo wakinywa maji mengi bado sio ishu

Swali ni jee... Wanazingatia masharti ya unywaji?
Hilo ni swali la msingi ila majority ya wanywa keupe kuanzia konyagi, mpaka vile viplastic vya highlife majority afya zao ni hafifu hii ikiashiria fika kuwa wanapenda kunywa zaidi ya kula, kwanza wengi uchumi mbovu hizo nyama wanakula saa ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom