GE2025 Kesi ya Zuio CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa yaahirishwa Hadi Agosti , 18, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Pambana na Hali yenu wenyewe , Mh Ndugai (RIP), YEYE ameisha hitimisha ya kwake hapa Duniani, kumuandama hakutuwasaidia kitu at this moment when your house is in disarray .
Haandamwi, alikuwa kiongozi na kuondoka kwake ameacha "precedence" ambayo itatumiwa na vizazi vya sasa na vya kesho kujifunza kupitia kwake kwa mabaya au mazuri yake...

Kumbuka kuwa, kiasili macho hutangulia kuona ubaya haraka kabla ya zuri la mtu kujionesha baadae sana...

Na kumbuka hili: Chachu ndogo, huchachua donge nzima...!

Na pia kumbuka hili: Baya moja tu, hufinika mazuri 1,000,000 yote..!

Kama una akili na ufahamu wa kutosha utaelewa kwa haraka sana hayo👆
 
Kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, inayohusu zuio la kufanya shughuli za kisiasa, imeahirishwa hadi Agosti 18, 2025, kwa ajili ya kusikilizwa kwa uamuzi wa maombi ya kutengua zuio hilo.

Shauri hilo, Na. 8323/2025, liliwasilishwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA upande wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, na linahusu zuio lililotolewa na Mahakama tarehe 10 Juni 2025, ambalo liliwazuia viongozi wa CHADEMA kufanya shughuli za utendaji pamoja na kutumia rasilimali za chama. Katika hatua ya hivi karibuni, upande wa walalamikiwa kupitia kwa mawakili wao wamewasilisha maombi ya kutaka zuio hilo litenguliwe, wakidai kuwa lilienda kinyume cha haki ya kikatiba ya kushiriki siasa.

Pia wameeleza kuwa wakati zuio hilo linatolewa, hawakuwa na mwakilishi mahakamani baada ya Wakili Jebra Kambole kujitoa, hivyo walinyimwa haki ya kusikilizwa. Hata hivyo, upande wa wajibu maombi umepinga hoja hizo kwa msingi kuwa walalamikiwa hawakukosa haki ya kusikilizwa, bali walishindwa kufuatilia mwenendo wa shauri hilo kwa uzembe wao wenyewe. Mahakama imesema itatoa uamuzi kuhusu hoja hizo tarehe 18 Agosti, hatua ambayo itaamua kama zuio hilo litaendelea kuwepo au la.
Inafanywa hivyo maksudi
 
View: https://youtu.be/hx4ngybDylM?si=KpdzXpoZ0HlihSZK
 
Halafu wanasema chadema imekufa...🤣
 
Unawabana watu huku na huko na kufurahi. Ukijiona mjanja na mjuzi wa siasa. Siku wakifika ukomo wa uvumilivu unaanza kushangaa imekuwaje. Mambo yatendeke kwa haki, haki huokoa taifa.
 
Pambana na Hali yenu wenyewe , Mh Ndugai (RIP), YEYE ameisha hitimisha ya kwake hapa Duniani, kumuandama hakutuwasaidia kitu at this moment when your house is in disarray .

CHADEMA haipo in disarray ila ni serikali ndio inapambana na CHADEMA Kwa kutumia Msajili, mahakama, mamluki na polisi. Tatizo mna macho ila hamuoni.
 
Kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho, inayohusu zuio la kufanya shughuli za kisiasa, imeahirishwa hadi Agosti 18, 2025, kwa ajili ya kusikilizwa kwa uamuzi wa maombi ya kutengua zuio hilo.

Shauri hilo, Na. 8323/2025, liliwasilishwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA upande wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, na linahusu zuio lililotolewa na Mahakama tarehe 10 Juni 2025, ambalo liliwazuia viongozi wa CHADEMA kufanya shughuli za utendaji pamoja na kutumia rasilimali za chama. Katika hatua ya hivi karibuni, upande wa walalamikiwa kupitia kwa mawakili wao wamewasilisha maombi ya kutaka zuio hilo litenguliwe, wakidai kuwa lilienda kinyume cha haki ya kikatiba ya kushiriki siasa.

Pia wameeleza kuwa wakati zuio hilo linatolewa, hawakuwa na mwakilishi mahakamani baada ya Wakili Jebra Kambole kujitoa, hivyo walinyimwa haki ya kusikilizwa. Hata hivyo, upande wa wajibu maombi umepinga hoja hizo kwa msingi kuwa walalamikiwa hawakukosa haki ya kusikilizwa, bali walishindwa kufuatilia mwenendo wa shauri hilo kwa uzembe wao wenyewe. Mahakama imesema itatoa uamuzi kuhusu hoja hizo tarehe 18 Agosti, hatua ambayo itaamua kama zuio hilo litaendelea kuwepo au la.

mahakama imeamua kukubali kujinajisi. Wanasiasa wameinajisi. Athari zake ni wananchi wataona mfumo haki HAUPO, hivyo watachukulia sheria mkononi, na NCHI HAITOTAWALIKA!
 
Manyumbu ni nyie mnaohangaika kupata haki mahakamani sababu ya uoga wenu 🤣🤣🤣🤣
Ivi kumbe hii nchi Kuna wajinga wengine kama huyu jamaa? Kutafuta haki mahakamani ni uoga? Wenye akili wanakufa alafu jinga moja kama hili linabaki kutuharibia Hali ya hewa..au basi🖕
 
Kutokana na kinachoendelea Dhidi ya kesi ya Lissu na CDM, pamoja na uamuzi Dhidi ya kesi ya Mdude, CCM kupewa wiki mbili na mahakama za kujieleza wakati CDM walisimamishwa Moja Kwa moja kufanya shughuli za kisiasa na Uamuzi Dhidi ya kusimamishwa Kwa shughuli za ibada za ufufuo na uzima zinanivunja imani na mahakama kama chombo Cha haki. Sidhani kama bado ninanguvu za kuiamini mahakama tena kama mtetezi wa haki. Itoshe tu kusema Sina imani basi😌
 
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, Agosti 18, 2025 imepanga kutoa uamuzi kuhusu shauri la maombi ya marejeo la Chadema ya kupinga amri za mahakama hiyo, kuizuia kwa muda kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali zake.

Uamuzi huo utatolewa baada ya Alhamisi Agosti 7, chama hicho kuwasilisha hoja zake mahakamani kikilenga kuishawishi ikiondolee amri hizo.

Mahakama hiyo katika uamuzi uliotolewa na Jaji Hamidu Mwanga wa Juni 10, 2025, ilikizuia kwa muda Chama cha Demokaria na Maendeleo kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali zake mpaka kesi ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali inayokikabili itakapoamuliwa.

Uamuzi huo ulitokana na maombi yaliyowasilishwa na walalamikaji katika kesi ya Kikatiba na kusikilizwa kwa upande baada ya aliyekuwa Wakili wa Chadema, Jebra Kambole kujiondoa.

Kesi hiyo ya madai namba 8323 ya mwaka 2025 imefunguliwa na aliyekuwa makamu mwenyekiti wa

Chadema, Said Issa Mohamed na wajumbe wawili wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema kutoka Zanzibar, Ahmed Rashid Khamis na Maulida Anna Komu.

Wadaiwa ni Bodi ya Wadhamini wa Chadema na Katibu Mkuu wa chama hicho.
 
Back
Top Bottom