Kesi ya Zitto Kabwe, Salim Bimani na Joran Bashange dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Mtetezi_Paul_Kisabo

New Member
Jan 3, 2019
4
1
Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya DSM katika kesi No. 31 (kesi ya kupinga muswada wa siasa) ya mwaka 2018 ,Zitto Kabwe, Salim Bimani na Joran Bashange dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imetoa ruling kwamba mawakili upande wa serikali wanapaswa kulete utetezi wao wa maandishi ndani ya siku saba kuanzia leo hivyo hadi tar 09.01.2019 wawe wameshaleta na kesi itasikilizwa tena tar 11.01.2019

Mahakama imesema maombi ya kuzuia mwanasheria mkuu wa serikali kupeleka muswada bungeni kwasasa hayahitajiki sababu bado kesi itasikilizwa tena tar 11 na upande wa utetezi wanatakiwa kuwasilisha utetezi wao wa maandishi tar 09.01.2019

Paul Kisabo
04.01.2019

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa liko bize linauza Mahindi WFP wao wanaleta mambo Sijui muswaada sio Bunge Nani atawaelewa
 
Back
Top Bottom