KESI ya Ubunge Ubungo, Hawa Ng'humbi atia mpira kwapani, Mnyika; kazi inaendelea

Huyo mama Hawa Ng'humbi lazima alipe gharama zote za kesi. Afterall Makamba Snr aliwaambia CCM itawalipia gharama zote za kesi. Hivyo Mnyika komaa alipe gharama zote za kesi. CCM wameshituka sasa hivi hawana hela walimalizia kwenye mkutano mkuu wao Kizota.

Omba hizo pesa zinaweza kusaidia kuchimba visima viwili, vitatu ktk jimbo lako la Ubungo.
 
i knew it..yule mama anamzimika sana mnyika!!!alitaka attention yake,..kamanda john kaa mbali na gamba Hawa,asikulainishe na kufuta rufani

Nakuunga mkono mkuu, kijana John anapaswa awe makini sana na huyu mmama! Kwa zile picha za kesi ya mwisho zilimwonyesha akimwegemea kijana na kumkodolea macho ya ki-mahaba, hakika akimpata chemba hatamwacha hivi hivi! Lakini pia kwa siasa za maji taka kibongo bongo anaweza kujilegeza kwake huku akiwa na kina Shigongo wana-time!!!!
 
Hawa Ng'umbi amefuta rufaa hivyo Mnyika ni Mbunge halali wa Ubungo

Walishaambiwa akili ya kuambiwa wachanganye na za kwao. Halafu aliyekuwa Kingozi wa Ngazi ya juu kwnye chama akawaambia wafungue kesi nyingi za kupinga matokeo, kumbe alikuwa anawapoteza.
 
jf mwisho wa matatizo... kuna member humu jana alileta hii taarifa akisema amepata taarifa za kijasusi kuwa hawa ngumbi ameomba kuondoa rufaa yake ila bado taarifa haijawa public ila watu walibeza sana kuwa acha tettesi. Tujifunze kusheshimu mawazo ya wenzetu...
 
Mkuu John Mnyika hebu usikubali kumwachia huyo mama hivi hivi kwani kakupotezea muda sana, so unatakiwa umwambie akulipe game na ikibidi ule ile kitu ya 0713.... Mpaka akome. kabisaaaaaa.......

u made my day! ni kweli mkuu dawa ya watu wa aina hii ndiyo hiii na amwambie bibie wala usigombee kabisa tena ubungo....
 
Hongera kamaanda John Mnyika ukombozi unaendelea! Kama kuna gharama za case lazima Hawa azilipe kwani asipo zilipa nani azilipe? Kama angekua ana jua kutubia busara asinge thubutu kua appeal!

Lazima Hawa atambue mahakama si Mama wala Baba yake mapaka imuonee huruma.
Kuna sehemu nyingi angeweza kwenda kuchezea lakini si mahakamani.
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nilitaka kuuliza kuhusu hili humu maana kimya kimezidi. Je hakuna makamanda wa kuripoti huko? Tusubiri live coverage kama ilivyokuwa kwa Lema.

Join Date : 5th December 2012

Posts : 19
Rep Power : 304
Likes Received 0

Likes Given 1

Karibu jamvini mkuu
 
Ni bora zaidi kutokuandika chochote kuliko kuandika vitu kama hivi, halafu unajiita great thinker ni sawa kweli mkuu?

wewe hapa sio jukwaa la dini bali ni jukwaa la siasa +propaganda, okey?
So kama kuna ukiukwaji wowote hebu pres button ya kuripoti kwa mods if kuna ukiukwaji wowote umefanyika ila kama no problema we tulia 2. Au ww ndio huyo mbunge hawa?
 
ameona maji marefu hawezi mshinda mnyika. kijana ni mchapakazi na makini hata ccm wanafahamu
 
H ha ha ha ha kituko hiki!! Alishajua atashindwa!! Aseme anataka kubembeleza ili asamehewe zile gharama za kesi ya msingi!!! Nimekubali yaishe!! Nnauye Jr, Ritz, Zomba, Rejao, et al .... mpooooooooooooooooooo!! Wakati mwingine ni bora mkubali yaishe tu!!
 
Hongera Mh. John Mnyika. Wana-Ubungo ni wapenzi wako; na mimi binafsi nakupenda sana. Endelea na misimamo yako Bungeni. Uzi ni huo huo. Hakuna Kulala; Mpaka Kieleweke !!!!!!!!!!!
 
Kila alipoenda, ramli zilimuonyesha kua anashindwa.
Nushakutana nae huyu mama kwa waganga kibao akiwa anashughulikia hii kesi. Na mote aliambiwa anapoteza muda na fedha zake bure!!
 
Labda alifikiri kuwa pale napo ni sehemu ya kuuzia sura kama kule kwenye majukwaa yao ya kucheza mduara. Chezea Nyika weye! Utamezwa.
 
Asanete John Mnyika kwa kuonesha utu na kumuhurumia kwa kuwa alikuwa anasukumwa na Mafisadi kufungua case zisizo na msingi,Bora katambua alikuwa ana poteza muda!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom