Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
Wasiachiwe hawa, wamechoma makanisa yameisha, sasa wataanza kunya kwenye vyanzo vya maji. Hawa ni watu hatari sana
Ila jamaa mbishi, pamoja nakusota rumande lakini bado akipata chance kidogo anawahamasisha watu kuukataa MUUNGANO.........
Mahabusu sio Serena hotel. Walitakaje? waletewe mademu?
kesi inayowakabili viongozi wa uamsho imeendelea leo katika mahakama ya vuga huku zanzibar ambapo imeelezwa mahakamani hapo kuwa upelelezi bado unaendelea. Kesi imeahirishwa hadi rat 29 mwezi huu,
mahakamani hapo shelkh farid amepata wasaa mfupi wa kutoa neno kwa watu na kuwahoji kama wanautaka muungano au lah ambapo watu walijibu kwa nguvu kuwa hawautaki. Pia akawataka waandishi wa habari wafike kwenye vyuo vya mafunzo (jela) wakajionee namna wafungwa wanafoteseka wakiwao wao.
Wamedai kuwa uongozi wa jela unawanyima ndugu zao haki ya kuwapelekea huduma kama maji ya kunywa na vyakula ambavyo huwa inaruhusiwa, lakini kwao wamepigwa marufuku kupelekewa huduma hizo.
Kesi itarejewa tena mahakamani tar 29 mwezi huu.
Hii picha ya leo hii
chezea janjaweed wewe?Yamekuwa hayo Bujibuji?
wakikumbuka kwamba ni mwezi sasa hawajaonja ile kitu au hata kuwaona wake zao huku wakiwa hawana uhakika wa huko wake zao walipo; wanapata uchungu.Hasa ukizingatia kuwa midume nayo ikishasikia baba mwenye nyumba yuko sero haikawii kuanza kudoea doea!Mahabusu sio Serena hotel. Walitakaje? waletewe mademu?
wakikumbuka kwamba ni mwezi sasa hawajaonja ile kitu au hata kuwaona wake zao huku wakiwa hawana uhakika wa huko wake zao walipo; wanapata uchungu.hasa ukizingatia kuwa midume nayo ikishasikia baba mwenye nyumba yuko sero haikawii kuanza kudoea doea!
Wasiachiwe hawa, wamechoma makanisa yameisha, sasa wataanza kunya kwenye vyanzo vya maji. Hawa ni watu hatari sana
Naona kama zimeanza kuota...si walitakiwa wanyolewe.....