Kesi ya Uamsho: Sheikh Farid na wenzake wadai kuteswa mahabusu

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
Kesi inayowakabili viongozi wa Uamsho imeendelea leo katika mahakama ya Vuga huku Zanzibar ambapo imeelezwa mahakamani hapo kuwa upelelezi bado unaendelea. Kesi imeahirishwa hadi Rat 29 mwezi huu,

Mahakamani hapo Shelkh Farid amepata wasaa mfupi wa kutoa neno kwa watu na kuwahoji kama wanautaka muungano au lah ambapo watu walijibu kwa nguvu kuwa hawautaki. Pia akawataka waandishi wa habari wafike kwenye vyuo vya mafunzo (jela) wakajionee namna wafungwa wanafoteseka wakiwao wao.

Wamedai kuwa uongozi wa jela unawanyima ndugu zao haki ya kuwapelekea huduma kama maji ya kunywa na vyakula ambavyo huwa inaruhusiwa, lakini kwao wamepigwa marufuku kupelekewa huduma hizo.

Kesi itarejewa tena mahakamani tar 29 mwezi huu.
Hii picha ya leo hii

534686_308437555923007_379769701_n.jpg
 
Ila jamaa mbishi, pamoja nakusota rumande lakini bado akipata chance kidogo anawahamasisha watu kuukataa MUUNGANO.........
 
kesi inayowakabili viongozi wa uamsho imeendelea leo katika mahakama ya vuga huku zanzibar ambapo imeelezwa mahakamani hapo kuwa upelelezi bado unaendelea. Kesi imeahirishwa hadi rat 29 mwezi huu,

mahakamani hapo shelkh farid amepata wasaa mfupi wa kutoa neno kwa watu na kuwahoji kama wanautaka muungano au lah ambapo watu walijibu kwa nguvu kuwa hawautaki. Pia akawataka waandishi wa habari wafike kwenye vyuo vya mafunzo (jela) wakajionee namna wafungwa wanafoteseka wakiwao wao.

Wamedai kuwa uongozi wa jela unawanyima ndugu zao haki ya kuwapelekea huduma kama maji ya kunywa na vyakula ambavyo huwa inaruhusiwa, lakini kwao wamepigwa marufuku kupelekewa huduma hizo.

Kesi itarejewa tena mahakamani tar 29 mwezi huu.
Hii picha ya leo hii

534686_308437555923007_379769701_n.jpg



nachukua nafasi hii kukupongeza sana dr shein
fungiliam mbali hao wachochezii
 
Mahabusu sio Serena hotel. Walitakaje? waletewe mademu?
wakikumbuka kwamba ni mwezi sasa hawajaonja ile kitu au hata kuwaona wake zao huku wakiwa hawana uhakika wa huko wake zao walipo; wanapata uchungu.Hasa ukizingatia kuwa midume nayo ikishasikia baba mwenye nyumba yuko sero haikawii kuanza kudoea doea!
 
wakikumbuka kwamba ni mwezi sasa hawajaonja ile kitu au hata kuwaona wake zao huku wakiwa hawana uhakika wa huko wake zao walipo; wanapata uchungu.hasa ukizingatia kuwa midume nayo ikishasikia baba mwenye nyumba yuko sero haikawii kuanza kudoea doea!


sawa sawa
 
Hii yote ni kwasababu ya kiongozi wenu dhaifu, na bado watamtia vidole hadi jichoni.
 
Kwa akili za Kakke na mpemba mbishi watakuja hapa sasa hivi kutuambia kuwa Wazanzibar wameoneshwa kuuchukia muungano nje ya viwanja vya mahakama. Maneno yao hayatazingatia kuwa wengi wa walioenda pale ni watukuza mwarabu kwa hiyo maoni yao ni lazima yatakuwa hayo.

Kwa upande mwingine serikali ifanye uchunguzi wa kina, hata miaka mi3 sisi mbona hatuna haraa, si mnajua mambo mazuri hayataki haraka. Hao rumande wakae tu hakujaagi kule, mpaka uchunguzi utapokamilika, iwe mwakani, baada ya katiba mpya au hata kama itakuwa baada ya uchaguzi ujao, mimi wala sina papara nao. Kuku wetu manati ya nini bwana!
 
Last edited by a moderator:
Uyo farid ni raia wa oman..anataka kuiuza zenj kwa waharabu wenzie..ndio maana uhamsho wote ni waharabu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom