Kesi ya Tundu Lissu mubashara ITV

Wewe jamaa ni kijana mdogo kabisa kwanini hutaki kununua TV ?
Tutakosana aisee kwa ukale wa namna hii
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ Hapa nakiri nimekosea kwanza naomba samahani sana aiseeee kweli nimekosea hapa...

Ngoja nifanye juu chini nipate tv tuu mkuu sitaki kukosana na wewe humu maana wewe una mchango mkubwa sana humu ndani
πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Nafurahi kusikia hivyo ,ahsante
 
Tunaomba na pale mashahidi wa jamhuri wakiletwa mahakamani kutoa ushahidi mahakama I air out Case.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…