Kesi ya Sheikh Issa Ponda kunguruma Tarehe 19/10/2015

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,112
12088018_742726635873915_6072659454417491875_n.jpg

Kesi namba 128/2013 inayomkabili

Katibu wa jumuia na taasisi za kislamu Tanzania

Sheikh PONDA ISSA PONDA kutolewa hukumu

Katika mahakama ya mkoa wa

Morogoro siku ya jumatatu ya tarekhe 19/10/2015
yani kesho

Tumuombe Allah (sw) amfanyie wepesi Sheikh

aweze kushinda Hii kesi
 
Mwenyezimungu atamlipa Sheikh Ponda kwa Juhudi zake za Kutetea Mali za Waislamu.
Huyu Sheikh ni mfano mkubwa sana wa Kuigwa na Kizazi hiki.
Na Serikali itambue kuwa Kila Wakifanyacho juu ya Huyu Sheikh kitakuja warudia wao kwa wao.
Haki ya mtu haipotei bure. Iko siku watayaona haya madhila wanayompa huyu muungwana.

Mungu yuko pamoja nae hata km MAKAFIRI watachukia.
 
12088018_742726635873915_6072659454417491875_n.jpg

Kesi namba 128/2013 inayomkabili

Katibu wa jumuia na taasisi za kislamu Tanzania

Sheikh PONDA ISSA PONDA kutolewa hukumu

Katika mahakama ya mkoa wa

Morogoro siku ya jumatatu ya tarekhe 19/10/2015
yani kesho

Tumuombe Allah (sw) amfanyie wepesi Sheikh

aweze kushinda Hii kesi

Amin. Anaweza kuachiwa ila Polisi tayari wamepewa amri wamkate tena! Tumuombee wepesi kwa Allah ili Polisi wawape uzito kwenye kutekeleza hili.
 
12088024_1532825587008931_7471228927719222871_n.jpg

Huwezi kuipata Pepo ya Allah mpaka Allah akupe mitihani yake ndipo unapoweza kuingia katika Pepo yake Allah. Allah ampe Moyo wa Subira Sheikh Ponda issa Ponda na Mitihani ya Kidunia Amin.
 
Attachments

  • Sheikh Ponda.jpg
    Sheikh Ponda.jpg
    24.6 KB · Views: 137
Inasikitisha kesi za madai ya viwanja inaendeshwa na serikali kwa pingu.....Ya aalah msaidie mja wako na wape aibu kubwa wote wanao husika na waloridhia na wenye mamlaka wakayatumia kutesa ..wape aibu hapa hapa duniani ....Amin
 
Crabat,
Sheikh Ponda kamuadhimisha Sheikh Hassan bin Amir kwa kumjengea msikiti
kwenye uwanja ambao sheikh aliweka jiwe la msingi la Chuo Kikuu Cha Waislam
mwaka wa 1968.

Sikiliza hapa chini nini alichofanya Sheikh Hassan bin Amir 1955 katika TANU
katika kujenga umoja wa Watanganyika wakati wa kudai uhuru:

Mohamed Said: KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA SIBUKA TV NYERERE DAY
 
NI kweli ila sio kwa kuwatumainia wanaadam wakusahilishie mambo yako
 
12088024_1532825587008931_7471228927719222871_n.jpg

Huwezi kuipata Pepo ya Allah mpaka Allah akupe mitihani yake ndipo unapoweza kuingia katika Pepo yake Allah. Allah ampe Moyo wa Subira Sheikh Ponda issa Ponda na Mitihani ya Kidunia Amin.

Inasikitisha kesi za madai ya viwanja inaendeshwa na serikali kwa pingu.....Ya aalah msaidie mja wako na wape aibu kubwa wote wanao husika na waloridhia na wenye mamlaka wakayatumia kutesa ..wape aibu hapa hapa duniani ....Amin

Aamin Yaa Rabb.

Makafiri mwisho watadhalilika tu.
Nani aliyefanya dhulma akaishi kwa raha mpk mwisho wa maisha yake?
Wamepita kina Firaun na wadhulumati wengine wengi tu. Matokeo yake wamekufa vifo vibaya mno.
Sheikh Ponda Juu ya mateso anayopata lkn Darja yake kwa Allah na Kwa Waislamu wapenda Haki iko Juu kuliko Mkafiri wa aina yyt ktk Huu ulimwengu na sio Tanzania tu.
 
Back
Top Bottom