Lawrence Luanda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 703
- 75
Daa hii kali kweli..................
sasa namini Chadema kimetumwa na Makanisa nchini na nia yake kwa ajili ya wakiristo. na sio Chama cha siasa kama tunavyodanganywa
Wengine walikimbia kutoa ushahidi na wengine walikataa kuja kutoa ushahidi akiwemo anae daiwa kukashifiwa.Pamoja na kwamba mimi sio mwanacham wa chama chochote cha kisiasa lakini sio siri kwamba CDM kwenye hivyo tunavoviita vyombo vya haki hawa jamaa wamekuwa wakionewa sana, hivi hata wewe ukivua tu pazia la uchama, ile kesi ya Arusha ilikuwa ni ya haki kweli?
Mbona hata mashahidi wenyewe tu kwenye ile kesi walikuwa wanachanganyana sana, tuweni wakati mwingine tunatazama na kuona badala ya kutazama tu while huoni!
Mahakama ya hakim mkazi Tabora imewakuta wabunge na makada wa CHADEMA hawana hatia katika shitaka la kumshambulia mkuu wa wilaya ya Igunga wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga.
Akisoma hukumu hiyo hakimu alisema hakukuwa na ushahidi wakutosha kuthibitisha makosa waliyo shitakiwa nayo wabunge na makada wa CHADEMA pia aliwaonya upande wa mashitaka kwa kufungua kesi zenye mlengo wa kisiasa akisema ni kuipotezea mahakama muda na kuaribu pesa za walipakodi.
Alisema anakubaliana na hoja za utetezi kwamba mtandio nivazi linaloweza kuvulika pasipo shambulio hata wakati mtu akitembea laweza vulika pia alisema kwa sheria ya ulinzi shirikishi wananchi waweza kumshikilia mharifu popote mpaka polisi wafike hivyo kuweka chini ya ulinzi DC huyo halikuwa kosa.
Nawasilisha.
Source: nilikuwepo mahakamani.
Baada ya shift yako anaingia Nani? ni Zomba au Ritz?Halafu CDM mkishinda kama hivi, huwa ndio mnasema HAKI IMETENDEKA, ila mgeshindwa mngesikia mahakama zinatumiwa na CCM. Sasa hapa ngoja uone CDM pro watakavyo toa pongezi mpaka, halafu mnakuja kusema mahakama hazitendi haki kwenu, na hili je?
Halafu CDM mkishinda kama hivi, huwa ndio mnasema HAKI IMETENDEKA, ila mgeshindwa mngesikia mahakama zinatumiwa na CCM. Sasa hapa ngoja uone CDM pro watakavyo toa pongezi mpaka, halafu mnakuja kusema mahakama hazitendi haki kwenu, na hili je?
Halafu CDM mkishinda kama hivi, huwa ndio mnasema HAKI IMETENDEKA, ila mgeshindwa mngesikia mahakama zinatumiwa na CCM. Sasa hapa ngoja uone CDM pro watakavyo toa pongezi mpaka, halafu mnakuja kusema mahakama hazitendi haki kwenu, na hili je?
Mahakama ya hakim mkazi Tabora imewakuta wabunge na makada wa CHADEMA hawana hatia katika shitaka la kumshambulia mkuu wa wilaya ya Igunga wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga.
Akisoma hukumu hiyo hakimu alisema hakukuwa na ushahidi wakutosha kuthibitisha makosa waliyo shitakiwa nayo wabunge na makada wa CHADEMA pia aliwaonya upande wa mashitaka kwa kufungua kesi zenye mlengo wa kisiasa akisema ni kuipotezea mahakama muda na kuaribu pesa za walipakodi.
Alisema anakubaliana na hoja za utetezi kwamba mtandio nivazi linaloweza kuvulika pasipo shambulio hata wakati mtu akitembea laweza vulika pia alisema kwa sheria ya ulinzi shirikishi wananchi waweza kumshikilia mharifu popote mpaka polisi wafike hivyo kuweka chini ya ulinzi DC huyo halikuwa kosa.
Nawasilisha.
Source: nilikuwepo mahakamani.
Mahakama ya hakim mkazi Tabora imewakuta wabunge na makada wa CHADEMA hawana hatia katika shitaka la kumshambulia mkuu wa wilaya ya Igunga wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga.
Akisoma hukumu hiyo hakimu alisema hakukuwa na ushahidi wakutosha kuthibitisha makosa waliyo shitakiwa nayo wabunge na makada wa CHADEMA pia aliwaonya upande wa mashitaka kwa kufungua kesi zenye mlengo wa kisiasa akisema ni kuipotezea mahakama muda na kuaribu pesa za walipakodi.
Alisema anakubaliana na hoja za utetezi kwamba mtandio nivazi linaloweza kuvulika pasipo shambulio hata wakati mtu akitembea laweza vulika pia alisema kwa sheria ya ulinzi shirikishi wananchi waweza kumshikilia mharifu popote mpaka polisi wafike hivyo kuweka chini ya ulinzi DC huyo halikuwa kosa.
Nawasilisha.
Source: nilikuwepo mahakamani.
Hapo hakimu amekataa kutumiwa na magamaba kama tp........................
Halafu CDM mkishinda kama hivi, huwa ndio mnasema HAKI IMETENDEKA, ila mgeshindwa mngesikia mahakama zinatumiwa na CCM. Sasa hapa ngoja uone CDM pro watakavyo toa pongezi mpaka, halafu mnakuja kusema mahakama hazitendi haki kwenu, na hili je?
tUPATIE JINA LA HUYO MHESHIMIWA