Kesi ya shambulio la mkuu wa Wilaya Igunga, CHADEMA yashinda

Halafu CDM mkishinda kama hivi, huwa ndio mnasema HAKI IMETENDEKA, ila mgeshindwa mngesikia mahakama zinatumiwa na CCM. Sasa hapa ngoja uone CDM pro watakavyo toa pongezi mpaka povu la kinywa linawatoka, halafu mnakuja kusema mahakama hazitendi haki kwenu, na hili je?
Kutoa pongezi ni lazima kwa mtazamo wangu wewe hujui sheria ndiyo maana unaandika hivyo, katika kesi zote ambazo CDM wamelalamika zina ukweli 100% kwamba majaji wameboronga katika kutoa hukumu(wamepindisha sheria), usiwe unaandika kishabiki fikiria kwanza.
 
Haki ni kama mtoto mtundu, ambaye anaweza kujitokeza mbele ya wageni waheshimiwa sana, na kusema lolote!
Viva cdm...
Mama Mkuu wa Wilaya arudi zake Kimara Mavurunza aendeleze shamba lake la Noah a.k.a Kitimoto's!
 
Halafu CDM mkishinda kama hivi, huwa ndio mnasema HAKI IMETENDEKA, ila mgeshindwa mngesikia mahakama zinatumiwa na CCM. Sasa hapa ngoja uone CDM pro watakavyo toa pongezi mpaka povu la kinywa linawatoka, halafu mnak
Ni lazima ndugu! Aliyeumwa na nyoka nyasi zote hugeuka NYOKA!! angalia bungeni na maamuzi mengine ya kisheria kwa kichwa kisicho na gamba utagundua hili!!
 
Haki ni kama mtoto mtundu, ambaye anaweza kujitokeza mbele ya wageni waheshimiwa sana, na kusema lolote!
Viva cdm...
Mama Mkuu wa Wilaya arudi zake Kimara Mavurunza aendeleze shamba lake la Noah a.k.a Kitimoto's!

Mkubwa hapa sasa unataka kutumix. Hijabu na Noah wapi na wapi?
 
HAKI haijatendeka! NDIYO, kwanini hakimu hakuwaamuru CCM/SERIKALI iwalipe fidia makamanda kwa kufungua kesi zenye mwelekeo wa kisiasa?

Halafu BAKWATA walituambia kwamba Mama Fatuma Kimario alivuliwa HIJAAB, kumbe ulikuwa mtandio? Aibu yao viongozi wa DINI wanaposema UONGO mchana kweupe, no wonder WAISLAMU wengi hawaiamni BAKWATA!
 
asante mkuu kwa kutujuza nampa pongezi hakimu kwa kutenda haki lakini nampa pole kwa kuwa atashughulikiwa kama mpinzani
 
Huyu mama atakuwa amekubali mahakama ifuate sheria ili asije akaanza mfungo akiwa na dhambi ya kusema uongo.
 
Halafu CDM mkishinda kama hivi, huwa ndio mnasema HAKI IMETENDEKA, ila mgeshindwa mngesikia mahakama zinatumiwa na CCM. Sasa hapa ngoja uone CDM pro watakavyo toa pongezi mpaka povu la kinywa linawatoka, halafu mnakuja kusema mahakama hazitendi haki kwenu, na hili je?

Pamoja na kwamba mimi sio mwanacham wa chama chochote cha kisiasa lakini sio siri kwamba CDM kwenye hivyo tunavoviita vyombo vya haki hawa jamaa wamekuwa wakionewa sana, hivi hata wewe ukivua tu pazia la uchama, ile kesi ya Arusha ilikuwa ni ya haki kweli?

Mbona hata mashahidi wenyewe tu kwenye ile kesi walikuwa wanachanganyana sana, tuweni wakati mwingine tunatazama na kuona badala ya kutazama tu while huoni!
 
Nashukuru kwa taarifa, mi naimani na mahakama zetu kuwa zinatenda haki japo watu wengi hawaziamini.
 
Halafu CDM mkishinda ... ndio mnasema HAKI IMETENDEKA, ila mgeshindwa mngesikia mahakama zinatumiwa na CCM. Sasa hapa ngoja uone CDM pro..., halafu mnakuja kusema mahakama hazitendi haki kwenu, na hili je?
Kesi nyingine za kipuuzi mno, acha malalamiko. Moja ya mambo yanayoipaisha CDM na kuidumaza CCM machoni pa Watanzania.
Hakimu kasema kweli, ni siasa.
Polisi ni wanasiasa tu, kesi ya kada wa CDM aliyetekwa na kuuwawa mbona wako kimya hadi leo?
Polisi wababaishaj
 
Ni hiyo iwe fundisho kwa Ma DC wenzake. Wananchi tutuie hukumu hii kuwashikisha adabu watawala.

Hii Hukumu imenitia Moyo sana. Kuanzia leo, akija DC mjingamjinga (Maana wengi hawana sifa zaidi ya kulipwa fadhila) kwangu mimi sintomvua Mtandio, nitamvua bukta na atajua nitakachomfanya. Wamezidi sana hawa vibaraka wa hawa jamaa wa Mabwepande.
 
Back
Top Bottom