Jamani, hii redio ya CCM inatia aibu. Dakika 5 zilizopita Waziri Membe alikuwa akitoa mwendelezo wa Kashfa ya RADA na malipo yake toka BA. Ni pale Zito alipoomba mwongozo wa Spika ili hoja ijadiliwe na Bunge. Ghafla TBC Taifa wakakata Matangazo. Inachukiza na kushangaza.
Unaumwa sana wewe kwan jk, igp, jaji mkuu, makamu wa rais, na mawaziri wengine sio waislamu? Na kwa maana hii unataka 2015 angombee muislamu na huo hautakuwa mfumo uislamu?
Mnajidanganya sana ndo maana nasikia hata ktk chuo kikuu kimoja hapa nchini non christians mliendesha kongamano la pasaka wakati ktk historia ya imani yenu hamna pasaka na kuwaeleza wanaosoma hapo kuwa chuo hicho kimeanzishwa kuinua non christians kwa ajili yakuwainua wao nakuwa ud inamilikiwa na christians. Mmeleta mgogoro sana ktk huu mtazamo wenu
membe alifoji jina ili akasome shule za mission. Ni muislam pure.
Rushwa ya rada na Chenge ni sawa na chanda na pete.Sababu alizotoa za kukutwa na dola laki tano zinaacha maswali mengi kuliko majibu.Chenge hata afanye nini kwenye hili bado wingu litatanda juu yake tu, ila kinachomsadia ni alikuwa attorney general kwenye nchi inayonuka rushwa, wakimwaga mboga na yeye anaweza kuamua kumwa ugali kwenye mwaswala mengine.acha hayo chadema.nyinyi mtakuwa mnatusaidia bungeni kuchangamsha miaka yote. Ikulu mtaisikia jina tu. Lkn kwa hili la chenge na membe ni wazi chenge atatafuta mlango wa kutokea
Hii inaniaminisha kuwa viongozi wengi wa kitaifa ni members wa JF, hii issue ilikuwa ya moto sana humu jukwaani jana....
Zitto ameomba hii issue ijadiliwe bungeni isipite tu hivihivi, speaker amekubali lakini hajasema ni lini itajadiliwa
Duh!! hii itakuwa moto mkali, sijui vijisenti atajificha wapi.
Waziri wa mambo ya nje, Membe, ametoa tamko kali la serikali kuwa BAE ya Uingereza imekiuka makubaliano ya kuirudishia Tanzania fedha ilizokwapua kutoka katika mauzo ya rada ambapo walikwapua dola milioni 29 na ikaubaliwa zirudishwe kwetu lakini wao wamekataa wanataka wazipe NGOs za kiingereza zifanyazo kazi hapa kwetu. Membe anasema hii ni dharau kubwa kwa serikali yetu na afadhali tuzikose hizo hela lakini tubaki na heshima yetu kwani BAE waliwalipa wamarekani dola 400 milioni bila masharti yoyote ingawa mazingira yote yako sawa
2015 presidency races are daily taking a new dimension!
Hao CCM wanashinda hapa JF wanajua nini tunasema muda wote na Membe kajadiliwa sana hapa now anataka kupata kitu kingine cha kumweka kwenye ramani ndani ya Nchi. Wacha tuone itakuwaje .
BAE ni wezi waliopanga mipango na viongozi wa serikali kuuibia Tanzania, sasa iweje leo mwizi wa ulaya arudishe pesa kwa mwizi wa Tanzania wakati pesa ni ya watanzania, haya ni makosa makubwa.
Hana jipya huyu huko MTAMA hata vsima vimemshinda.....nae anataka kua sinbad wa safari
membe ndo anaetafuta cheap popularity......anaposisitiza watanzania tupiganiehaki yetu kwa mbinu gani?????yasije kumrudia akiambiwa awataje waliotulostisha ataweza??????mbona mapesa mengine hatuambiwi yanatumikaje??????za EPA hata gavana NDULU hajui.....je za BAe nani atajua??????MEMBE MZUSHI TUUU......arudi nae kwenye kashfa ya pesa za MEiss,,,,,,ccm hawa siwaamin
Tatizo tulio wengi hatujuwi kama tanzania kunadini zadi ya 1 nitawaomba ni post hapa jukwa la siasa dini zote zilianza lini mitume wake ni akinani wengi wanajuwa ukilisito na madhehebu yake usilam na madhehebu yake hizo dini msizozijuwa wanahaki tz inakela usilam v ukilisit dini nichanzo cha amani mnaabudu nini? Kama siunafiki muisilam mkilisit kuhubili machafuko udinisiku zinavyoenda naelekea kukosa imani na JF members. watu badala ya kujadili hoja wanaanza matusi, mara siasa za vyama, mara udini. Hivi kweli akili zetu ni finyu hivi mpaka hata mambo ya utaifa tuanze kuyajadili kwa kutumia uchama, udini, uhuni nk. Lazima tubadilike tujadili kama watanzania ambao wana uchungu na nchi yao.