Samahani kwa kuwatoa nje ya mada; Je tutafanyaje tujue utajiri wa huyu afande kwani kwa mshahara wa kawahida wa huyu polisi ni vigumu kuwa na unono huo. Hau kunabiashara mbadala?:yo:
Samahani kwa kuwatoa nje ya mada; Je tutafanyaje tujue utajiri wa huyu afande kwani kwa mshahara wa kawahida wa huyu polisi ni vigumu kuwa na unono huo. Hau kunabiashara mbadala?:yo:
Jamani, samahani kuwatoa kwenye mada. Nimeangalia hii picha, hivi huyu polisi kweli anaweza kufukuzana na kibaka na akamkamata?[/QUOTE
Hata mimi nilikuwa namshangaa huyu njagu. Anaweza kumkimbiza mwizi na kumkamata kwa kutumia remote control (kidding).
Anyway, askari huyu ni kielelezo kuwa tuna jeshi lililojisahau na lisiloweza kutekeleza wajibu wake ipasayo.
Tuko ndani ya maombi Mungu awapige upofu wote wanaokula njama za kuhujumu haki.MUNGU wa sasa ni kijana atatujibu mapema.amen.