Kesi ya Rwekatare polisi yakwaa kisiki; mahakama yachefuliwa na mwenendo wa kesi?

lwakatare19.jpg

Samahani kwa kuwatoa nje ya mada; Je tutafanyaje tujue utajiri wa huyu afande kwani kwa mshahara wa kawahida wa huyu polisi ni vigumu kuwa na unono huo. Hau kunabiashara mbadala?
:yo:
 
Ninachoshindwa kuelewa mimi ni hiki. Hivi haya yote yanafanyika kwa maslahi ya nani? Na mtu ambaye simwelewi kabisa ni Mwigulu Nchemba, hivi kazi anazofanya ndoo zinazotakiwa kufanywa na naibu katibu mkuu? Makamu mwenyekiti na mratibu na uenezi wanafanya kazi gani? Je, ni lini Mwigulu Nchemba atakaa chini na kutoa documents. Maana katibu ni mtu wa kalamu zaidi na sio mdomo.
Hivi CCM na serikali yake, wanajitambua kuwa wanakazi ngumu sana ya kupata mgombea? Hivi ni lini watatambua kuwa adui yao Mkubwa ni wenyewe na rushwa na ufisadi na maugomvi yao yasiyo na tija? Mambo wanayoifanyia Chadema yanaifanya chadema kuwa maarufu hasa miongoni mwa wapiga kura.
CCM, mfumko wa bei ulivyo sasa utawanyima kura kuliko mnavyodhani. Badala ya kupigishana kelele na Chadema hadi kufikia ngazi ya kutaka kudhalilisha mahakama ni vema mkatambua kuwa mahitji ya wananchi ndiyo adui yenu mkubwa, Chadema wanatake advantage.
 
Nilishasema hapa kesi hii inabidi ushahidi uwe wa nguvu ama sivyo avenues kibao za utetezi kisheria.
 
lwakatare19.jpg

Jamani, samahani kuwatoa kwenye mada. Nimeangalia hii picha, hivi huyu polisi kweli anaweza kufukuzana na kibaka na akamkamata?[/QUOTE

Hata mimi nilikuwa namshangaa huyu njagu. Anaweza kumkimbiza mwizi na kumkamata kwa kutumia remote control (kidding).

Anyway, askari huyu ni kielelezo kuwa tuna jeshi lililojisahau na lisiloweza kutekeleza wajibu wake ipasayo.
 
Tuko ndani ya maombi Mungu awapige upofu wote wanaokula njama za kuhujumu haki.MUNGU wa sasa ni kijana atatujibu mapema.amen.

Mkuu ni kweli kabisa, Mungu hajawahi kuzeeka, Mungu siku zote ni KIJANA, so kama ulivyosema, ATATUJIBU MAPEMA na mwisho wa siku WENYE NJAMA MBAYA NA CHAMA CHETU CHA UKOMBOZI, CHADEMA, hakika WATASHINDWA, OUR GOD IS VERY YOUNG AND HE IS GOING TO ANSWER OUR PRAYERS VERY SOON INDEED!!!!!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom