Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Kwenye sheria za mikataba, kuna kitu kinaitwa conclusion of the contract.
Hiki kipengele kinaelezea jinsi gani mkataba unaweza kufika mwisho.
One way is by performance of contract. Yani hapa kila upande unapotimiza kile kilichokubaliwa kutimizwa, then mkataba utafika mwisho.
Ila kuna hiki kipengele kinaitwa by the FRUSTRATION OF THE SUBJECT MATTER OF THE CONTRACT!
Hapa mkataba unaweza kufika mwisho iwapo kile kilichokubaliwa kwenye mkataba kitakuwa frustrated.
Mfano, wewe una harusi, ukakodi ukumbi kwa ajili ya harusi hiyo. Kabla ya siku ya harusi kufika, ule ukumbi ukawaka moto, kitendo cha ukumbi kuwaka moto, kinaitwa kisheria, 'frustration of the subject matter of the contract' hivyo mwenye ukumbi hawajibiki kulipa damages kwa kuvunja mkataba, sana sana labda akurudishie pesa yako ya advance.
Sasa ukija kwenye hii ndege ya 'Bwana Mataka', failure of the part to service the aircraft to make it an airworthy vessel is enough evidence that the subject matter of the contract had been frustrated... And this amounts to the breach of condition!
Sasa hapa itagegemea kwenye mkataba mama, walikubaliana kuwa ni jukumu la nani kufanyia matengenezo makubwa ndege hiyo. Iwapo jukumu lilikuwa ni la ATCL, basi hapo tutakuwa tumeliwa. Ila iwapo jukumu lilikuwa ni la hao waliotukodisha ndege, basi tutalamba dume na tutawashinda asubuhi na mapema.
Kesi hii ni rahisi sana kwa Tanzania kushinda, na wanasheria watakaozembea tukashindwa kesi nyepesi kama hii, wakirudi hapa wacharazwe viboko!
Aisee nimesoma hii comment yako nikafikiri vitu vingi kweli_!Kwanza Ndege huyo bado IPO kiwandani. Na TANZANIA awajakabidhiwa. Kiwanda walitakiwa kuileta ngede na kuikabithi TANZANIA pale airport na marobani wao. Ndipo inakuwa ya TANZANIA
Hata mbaazi zikishindwa kuzaa husingizia juaKesi zote zilikua ni nyepesi kushinda ikiwamo ya samaki,lakin wanasheria wetu walikua wananunulika wanajifunga wenyewe basi mchezo unaisha.
Angalia suala la acacia,watu wameweka ngumu suluhisho limepatikana,ingekua enzi za JK au mkapa saa hizi tunasaga meno
Hadi sasa Acacia umepata nini hata senti tano hujalipwa zaidi ya stori za magazetini.Kesi zote zilikua ni nyepesi kushinda ikiwamo ya samaki,lakin wanasheria wetu walikua wananunulika wanajifunga wenyewe basi mchezo unaisha.
Angalia suala la acacia,watu wameweka ngumu suluhisho limepatikana,ingekua enzi za JK au mkapa saa hizi tunasaga meno
Tatizo la vijana wengi hawana ujuzi wa negotiation. Unazani mkikubaliana kulipwa utalipwa siku hiyohiyo, lazima kuwe na terms of payment. Sasa vijana mnaingiza siasa hata mahali ambapo apastahili.Hadi sasa Acacia umepata nini hata senti tano hujalipwa zaidi ya stori za magazetini.
Unaleta uswahili sasa sheria za duniani wao wakibaini hata ulituma pesa kwa bank itazuiwa!sembuse unamkataba watengenezaji hiyo inakuwa ni yako!!Kwanza Ndege huyo bado IPO kiwandani. Na TANZANIA awajakabidhiwa. Kiwanda walitakiwa kuileta ngede na kuikabithi TANZANIA pale airport na marobani wao. Ndipo inakuwa ya TANZANIA
Ukiacha hilo, Wanasheria wa serikari wengi wao ni vilaza na hawajiaminiKesi zote zilikua ni nyepesi kushinda ikiwamo ya samaki,lakin wanasheria wetu walikua wananunulika wanajifunga wenyewe basi mchezo unaisha.
Angalia suala la acacia,watu wameweka ngumu suluhisho limepatikana,ingekua enzi za JK au mkapa saa hizi tunasaga meno
Rais kashatoa wito, nenda kàunganishe nguvu na ujuzi na siyo kujifaragua hapa JF.Kwenye sheria za mikataba, kuna kitu kinaitwa conclusion of the contract.
Hiki kipengele kinaelezea jinsi gani mkataba unaweza kufika mwisho.
One way is by performance of contract. Yani hapa kila upande unapotimiza kile kilichokubaliwa kutimizwa, then mkataba utafika mwisho.Ila kuna hiki kipengele kinaitwa by the FRUSTRATION OF THE SUBJECT MATTER OF THE CONTRACT!
Hapa mkataba unaweza kufika mwisho iwapo kile kilichokubaliwa kwenye mkataba kitakuwa frustrated.
Mfano, wewe una harusi, ukakodi ukumbi kwa ajili ya harusi hiyo. Kabla ya siku ya harusi kufika, ule ukumbi ukawaka moto, kitendo cha ukumbi kuwaka moto, kinaitwa kisheria, 'frustration of the subject matter of the contract' hivyo mwenye ukumbi hawajibiki kulipa damages kwa kuvunja mkataba, sana sana labda akurudishie pesa yako ya advance.
Sasa ukija kwenye hii ndege ya 'Bwana Mataka', failure of the part to service the aircraft to make it an airworthy vessel is enough evidence that the subject matter of the contract had been frustrated... And this amounts to the breach of condition... Making the whole contract voidable!
Sasa hapa itagegemea kwenye mkataba mama, walikubaliana kuwa ni jukumu la nani kufanyia matengenezo makubwa ndege hiyo. Iwapo jukumu lilikuwa ni la ATCL, basi hapo tutakuwa tumeliwa. Ila iwapo jukumu lilikuwa ni la hao waliotukodisha ndege, basi tutalamba dume na tutawashinda asubuhi na mapema.
Kesi hii ni rahisi sana kwa Tanzania kushinda, na wanasheria watakaozembea tukashindwa kesi nyepesi kama hii, wakirudi hapa nchini wacharazwe viboko!
Naona unachochea hasira za walipa kodiKwenye sheria za mikataba, kuna kitu kinaitwa conclusion of the contract.

Ukinunua buguruni. Ndipo unaweza ukakatwa na TRA pale mlagoni dukani. Ndege hipo kiwandani iweje ikamatwe wakati ujakabidhiwa. Ndio hoja ya TANZANIA kwa Wmkuu wa Canada. Ndege bado ijawa ya TANZANIA. Kama tunakumbuka zile za awali zililetwa na maribani wao. Na kukabithi.Aisee nimesoma hii comment yako nikafikiri vitu vingi kweli_!
Unafikiri huo ununuzi wa ndege sawa na kununua maembe buguruni?
Aliyekwambia mpaka ifike ndio inakua ya tz nani?
Ndege ya mattaka haikununuliwa ilikodishwa.Kwanza Ndege huyo bado IPO kiwandani. Na TANZANIA awajakabidhiwa. Kiwanda walitakiwa kuileta ngede na kuikabithi TANZANIA pale airport na marobani wao. Ndipo inakuwa ya TANZANIA
Zikilipwa utasemaje kwa mfano?Hadi sasa Acacia umepata nini hata senti tano hujalipwa zaidi ya stori za magazetini.
Suluhisho limepatikana?so inamaana noah zetu zinakarbia bandarini?Kesi zote zilikua ni nyepesi kushinda ikiwamo ya samaki,lakin wanasheria wetu walikua wananunulika wanajifunga wenyewe basi mchezo unaisha.
Angalia suala la acacia,watu wameweka ngumu suluhisho limepatikana,ingekua enzi za JK au mkapa saa hizi tunasaga meno
Hapo dpp consent ilitolewa retrospective yaani baada ya kesi kuanzaKesi zote zilikua ni nyepesi kushinda ikiwamo ya samaki,lakin wanasheria wetu walikua wananunulika wanajifunga wenyewe basi mchezo unaisha.