Kesi ya ndege ya Mataka (ATCL) Tutashinda mapema asubuhi!

Kama hujui omba msaada maana unaleta vitu ambavyo havipo zile ndege tumenunua kwa cash so it means ni zetu toka ziko kule na wale jamaa wametafuta sehemu ambapo tumeweka pesa zetu wakaziona izo ndege kwa iyo kinachotakiwa hapo ni kulipa deni tu hao wanasheria wanaongeza gharama tu kesi iko uchi kabisa ile
Kumbe akuna naniiii..... Hakuna duka la Ndege. Mjinga weeee. Unatoa pesa wanakutengezee kwa nmna unavyotaka wewe. KIWANDANI SIO DUKANI. Ndege azitengezwi kama gari.order my frnd. Ndio maana imechukua muda toka tununue
 
Kesi zote zilikua ni nyepesi kushinda ikiwamo ya samaki,lakin wanasheria wetu walikua wananunulika wanajifunga wenyewe basi mchezo unaisha.
Angalia suala la acacia,watu wameweka ngumu suluhisho limepatikana,ingekua enzi za JK au mkapa saa hizi tunasaga meno
Hii pia tumepigwa.
Kama kampuni yetu ya pamoja italipa Deni la ACACIA unaonaje hapo? Sio tutakuwa tunachangia kujilipa
 
Ukinunua buguruni. Ndipo unaweza ukakatwa na TRA pale mlagoni dukani. Ndege hipo kiwandani iweje ikamatwe wakati ujakabidhiwa. Ndio hoja ya TANZANIA kwa Wmkuu wa Canada. Ndege bado ijawa ya TANZANIA. Kama tunakumbuka zile za awali zililetwa na maribani wao. Na kukabithi.
Kama haijawa ya Tanzania sasa sisi tunawashwa washwa kwa nini? Si tuwaambie tu watupe nyengine!

Story yako ni sawa na umeingia bank akatokea jambazi uko kwenye foleni na cash yako mkononi unaenda ku deposit, hela iliyoibiwa itakuwa ya bank au ya kwako?
 
Tatizo la vijana wengi hawana ujuzi wa negotiation. Unazani mkikubaliana kulipwa utalipwa siku hiyohiyo, lazima kuwe na terms of payment. Sasa vijana mnaingiza siasa hata mahali ambapo apastahili.
Terms of payment na Nani wakati ACACIA is no more?
Tuishie kupokea " rushwa " yetu in the form of " good will gesture payment "
 
Kumbe akuna naniiii..... Hakuna duka la Ndege. Mjinga weeee. Unatoa pesa wanakutengezee kwa nmna unavyotaka wewe. KIWANDANI SIO DUKANI. Ndege azitengezwi kama gari.order my frnd. Ndio maana imechukua muda toka tununue
Umelipa cash unasubiri ndege ikamilike so iyo ndege ni yako since ulipoilipia ila kama ungekua umetoa order na hujailipia hata robo haifiki kwn tungekua tunasumbuka nayo ya nini?swala hapa ni kulipa tunachodaiwa mbn wadogo zetu wanakatwa juu kwa juu kwenye maswala ya mikopo aseee
 
Ukinunua buguruni. Ndipo unaweza ukakatwa na TRA pale mlagoni dukani. Ndege hipo kiwandani iweje ikamatwe wakati ujakabidhiwa. Ndio hoja ya TANZANIA kwa Wmkuu wa Canada. Ndege bado ijawa ya TANZANIA. Kama tunakumbuka zile za awali zililetwa na maribani wao. Na kukabithi.

lugha ya Taifa na wewe ni tatizo kwamba wao wajinga wamekamata kitu kisichokuwa cha tz?
 
Sasa hapa itagegemea kwenye mkataba mama, walikubaliana kuwa ni jukumu la nani kufanyia matengenezo makubwa ndege hiyo. Iwapo jukumu lilikuwa ni la ATCL, basi hapo tutakuwa tumeliwa. Ila iwapo jukumu lilikuwa ni la hao waliotukodisha ndege, basi tutalamba dume na tutawashinda asubuhi na mapema.

Kwenye hiyo aya unasema itategemea mkataba ulikuwaje ndiyo Tanzania itashinda.............

Kesi hii ni rahisi sana kwa Tanzania kushinda, na wanasheria watakaozembea tukashindwa kesi nyepesi kama hii, wakirudi hapa nchini wacharazwe viboko!

Hapa chini ushafanya conclusion zamani.......

We jamaa bana.......
 
Kawaida papala ndio mshahara wake
Ukifanya jambo kwa utaratibu mzuri mambo huwa mazuri lakini anaposema amemwandikia waziri mkuu wa CANADA achie ndege yeye anafiki kama Tanzania anavyoongoza mihimiri yote ulaya hakuna kitu kama hicho
Na yeye lazma adhalilishwe kama yeye anavyodharirisha wenzake
 
wanasheria wa Jf matatizo sana ukiwauliza wameshinda kesi ngapi utasikia njoo mahakamani uone kazi yangu kumbe kilaza kwisha habari
Ukiacha hilo, Wanasheria wa serikari wengi wao ni vilaza na hawajiamini
Serikari inatakiwa kufumua idara za sheria kwenye maofisi yake yote

Kwa ujumla fani ya sheria ni moja ya fani zilizoingiliwa na ukilaza wa kutisha. Ukilaza unaochangiwa na njaa ya hawa wanasheria.

Kuna wakati serikali ilitaka kupeleka muswada bungeni ili kudhibiti taaluma ya wanasheria siku zile baada ya Tundu Lissu kugombea urais wa TLS.

Ingawa sikupenda approach lakini ni kweli kuna haja ya kuangalia namna ya kudhibiti taaluma ya wanasheria.
 
Kwenye sheria za mikataba, kuna kitu kinaitwa conclusion (winding up) of a contract.
Hiki kipengele kinaelezea jinsi gani mkataba unaweza kufika mwisho.

One way is by performance of contract. Yani hapa kila upande unapotimiza kile kilichokubaliwa kutimizwa, then mkataba utafika mwisho.Ila kuna hiki kipengele kinaitwa by the FRUSTRATION OF THE SUBJECT MATTER OF THE CONTRACT!

Hapa mkataba unaweza kufika mwisho iwapo kile kilichokubaliwa kwenye mkataba kitakuwa frustrated.

Mfano, wewe una harusi, ukakodi ukumbi kwa ajili ya harusi hiyo. Kabla ya siku ya harusi kufika, ule ukumbi ukawaka moto, kitendo cha ukumbi kuwaka moto, kinaitwa kisheria, 'frustration of the subject matter of the contract' hivyo mwenye ukumbi hawajibiki kulipa damages kwa kuvunja mkataba, sana sana labda akurudishie pesa yako ya advance.

Sasa ukija kwenye hii ndege ya 'Bwana Mataka', failure of the party to the contract to service the aircraft to make it an airworthy vessel is enough evidence that the subject matter of the contract had been frustrated... And this amounts to the breach of condition... Making the whole contract voidable!

Sasa hapa itagegemea kwenye mkataba mama, walikubaliana kuwa ni jukumu la nani kufanyia matengenezo makubwa ndege hiyo. Iwapo jukumu lilikuwa ni la ATCL, basi hapo tutakuwa tumeliwa. Ila iwapo jukumu lilikuwa ni la hao waliotukodisha ndege, basi tutalamba dume na tutawashinda asubuhi na mapema.

Kesi hii ni rahisi sana kwa Tanzania kushinda, na wanasheria watakaozembea tukashindwa kesi nyepesi kama hii, wakirudi hapa nchini wacharazwe viboko!

Kumbe hata huna uhakika.
 
Back
Top Bottom