usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,897
Kama ingekua ivo toka cjui may cjui July ndege imekamatwa na sisi tunaihitaji kwnn tusifungue kesi kwa icho kiwanda aseee by the way iyo ndege ni mali yetu na walioshikilia wamekamata mali yetu mchana kweupeKwanza Ndege huyo bado IPO kiwandani. Na TANZANIA awajakabidhiwa. Kiwanda walitakiwa kuileta ngede na kuikabithi TANZANIA pale airport na marobani wao. Ndipo inakuwa ya TANZANIA