Mahakama ikifuata haki Mnyika ni mbunge wa ubungo. Jaji akitoa hukumu kwa maelekezo ya nje ya mahakama Mnyika siyo mbunge wa ubungo
Si ajabu hawa majamaa wa SISIEMU wamejua hukumu.
ritzMungi.
Wewe kile kinachoifurahisha Chadema kwako ndio haki? Unatafsiri sheria za nchi kwa kutumia kichwa chako.
Tujaribu kuheshimu uhuru wa mahakama na tukubaliane na hukumu yoyote mahakama itakayotoa dhidi ya Mnyika.
ritz
nimekuwa nikifuatilia posts zako na comments zako una busara sana bro.
Hilo nalo neno..Mahakama ikifuata haki Mnyika ni mbunge wa ubungo. Jaji akitoa hukumu kwa maelekezo ya nje ya mahakama Mnyika siyo mbunge wa ubungo
Tumuombee mpambanaji wetu na mahakama isimamie haki kutendeka!!!!! VIVA CHADEMA VIVA UKOMBOZI WA WANYONGE TANZANIA !!!!Wanabodi ile hukumu iliyokuwa inasubiriwa kwa hisia tofauti itaanza masaa machache hajayo tuone Kama chaguo la wapiga kura wa ubungo litapigwa chini au mahakama itawaunga mkono. Twende kazi
Wanabodi ile hukumu iliyokuwa inasubiriwa kwa hisia tofauti itaanza masaa machache hajayo tuone Kama chaguo la wapiga kura wa ubungo litapigwa chini au mahakama itawaunga mkono. Twende kazi
Mungi.
Wewe kile kinachoifurahisha Chadema kwako ndio haki? Unatafsiri sheria za nchi kwa kutumia kichwa chako.
Tujaribu kuheshimu uhuru wa mahakama na tukubaliane na hukumu yoyote mahakama itakayotoa dhidi ya Mnyika.
Rejao umeamua kuamplify face book ya Nyika una nia gani au gamba limekuwa moto unakaribia kulivua?????Karibu CDM kwa wapambanaji!!!!Kwenye Wall yake Facebook Mnyika kayaandika haya
Nimepokea taarifa kwamba hukumu ya kesi ya uchaguzi dhidi ya ushindi wetu Jimbo la Ubungo kesho tarehe 24 Mei 2012 itatolewa katika Jengo la MAHAKAMA KUU (KIVUKONI-COURT No. 1) badala ya jengo ilipo mahakama ya kazi (akiba) ambapo kesi iliendeshwa. Kama tulivyotafuta kura pamoja, tukapanga mstari kupiga kura pamoja na tukakesha kuzilinda pamoja tujumuike pamoja kujua hatma ya kura zetu. Hukumu ya kesi inatarajiwa kuanza kusomwa SAA NNE ASUBUHI hata hivyo ni muhimu kuwahi mapema zaidi asubuhi kwa ajili ya itifaki za kuingia mahakamani.
Maslahi ya Umma kwanza!
MUHIMU: Mpe taarifa mwenzako!