Kesi ya Mnyika hukumu ni Leo

Kesi ya Mnyika hukumu ni Leo

Status
Not open for further replies.
Source: Gazeti la Uhuru

Wanachama wa CCM wanadai CHADEMA wamejipanga kufanya vurugu leo katika kesi ya Mnyika leo kwa kuwa wanajua watashindwa.

Hivi najiuliza, ina maana CCM wameshajua hukumu?

wewe ulitarajia UHURU waandikeje? Do they have an option?
 
Hata wakimvua Ubunge hawataambulia kitu zaidi ya kuwaingiza Watanzania kwenye gharama za uchaguzi.
 
Alama za nyakati ni muhimu. Watu wa Arusha wanakuambia kwamba jiwe likishindanishwa na magamba litakuwa na uhakika wa ushindi, sembuse binadamu! Watu wamechoka kwelikweli!
 
Kwa mtindo huu wa Chama Cha Mapinduzi kuwa na 'Hukumu' za kesi mbali mbali za kisiasa nchini mfukoni mwao WIKI KADHAA hata kabla ya hukumu wenyewe kutolewa mahakamani WaTanzania tunajifunza nini hadi hapo maana yake??

Somo hapo ni kuchukua hatua muafaka. Kubakia kulialia hakutatusaidia.
 
Wanajamvi nadhani utangulizi umetosha, walioko eneo la tukio tujuzeni yanayojiri......
 
Ndevu si Mzigo,

Uko sahihi mheshimiwa.

Wahenga walisema ''SIKIO LA KUFA HALISIKII''!
CCM wameamua KUJIMALIZA WENYEWE KI AINA.Kwa akili finyu waliyo nayo CCM na serikali yake wanafikiri kuwa WAKIWANYANG'ANYA CHADEMA MAJIMBO YOTE MUHIMU KWA NJIA YA MAHAKAMA BASI CHADEMA ITAPOTEZA NGUVU NA UMAARUFU ILIO NAO KWA WATANZANIA KWA SASA. This is a big mistake for Magambas!

Naweza ku-predict kuwa Jimbo la Ubungo linaweza kuwa wazi kuanzia leo baada ya Hukumu itakayosomwa na Jaji ambaye ni Kibaraka wa CCM.Naweza kuona kuwa hukumu ya kesi hii itakuwa kama ile ya G.Lema kule Arusha. Kwamba tayari hukumu ilishapangwa ya kumvua Ubunge J.J.Mnyika ili jimbo liwe wazi.

Tunajua tangu baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2010,CCM hawana raha na hawapati usingizi baada ya majimbo muhimu kwenye majiji ya Arusha mjini,Mwanza(Nyamagana na Ilemera),Dar(Ubungo na Kawe) na Mbeya. Kwa vile haya yalikuwa ni maeneo ambayo CCM walikuwa wakidhani ni ngome zao basi wameamua kutaka kuyarudisha mikononi mwao kwa hila kupitia mlango wa nyuma yaani MAHAKAMA!!!Kwa ujinga wao CCM wanafikiri wakifanya hivi basi wanaweza kushinda Chaguzi ndogo kwa kutumia RAFU/MCHEZO MCHAFU ili tu majimbo hayo yawe chini ya CCM! Wameshindwa kusoma alama za nyakati kwamba kwa sasa Watanzania HAWAWEZI TENA KUKUBALI USHINDI WA GHILBA. CCM ni mashuhuda wa kile kilichotokea Arumeru East. Tunajua waliweka kila mbinu na mikakati ya kutaka kuchukua jimbo hilo ikiwemo KUUA WATU,KUIBA KURA/KUGHUSHI NA HONGO, lakini bado Wananchi wakasema NO TO CCM!

Kwa hukumu hii ya leo tutegemee lolote.

Natumaini wewe ndiye yule catoonist maarufu aka Mzee wa Rivasi,

Mkuu kila kitu umemaliza ngoja magamba yajichanganye yaone harisa ya wananchi.
 
Kama police hawajapelekwa wengi hatavuliwa ubunge!
Mungu aingilie kati mkuu,kuna gari kadhaa za FFU na gari mbili za maji ya kuwasha na askari kibao.
"Ee Mungu tusaidie wapenda haki na mabadiliko Watanzania maana wewe siku zote upo upande wa HAKI
"
 
Mnyika akishindwa mahakamani atashinda tena kwenye mioyo ya wananchi kama alivyoshinda 2010
 
Wanafunzi wa chuo sijui kama mpo leo mahakamani mm ndo naelekea uko sasa hivi
 
leo john Mnyika anahukumiwa..... hiv unadhan atapona? ?? tushawaona wabunge wawil wakivuliwa nyazifa zao akiwemo GODBLESS LEMA ....naomba wadau mmutakie ushind katika kess yke....
 
​mbona hukumu ya Lema ilifahamika kabla hata ya siku ya hukumu
 
nimehudhuria semina mbili za kulinda kura pale urafiki, nililinda kura kata ya manzese kuanzia upigaji kura hadi kutangazwa pale mabibo, hawa majaji wa voda fasta wasithubutu kuharibu usingizi niliopoteza aisee.
 
Kwanini tusiandamane kuwahimiza ccm watuachie nchi yetu???yani ccm kimekua chama cha ufisadi, uzandiki, uuaji na dhuluma...hivi hamsomi alama za nyakati??????
 
Hakuna la kujifunza hapo Mjomba zaidi ya kukutahadharisha kwamba ni wakati mwafaka sasa umefika wa kuanza kufungua ala yako kiunoni. Hata Vibaka walianza kuchomwa moto baada ya Wananchi kukosa Imani na Mahakama zetu.
 
Kwa kutambua mchango wa MNYIKA bungeni na kuweka maslahi ya taifa mbele na kama mahakama ni muhimili wa dola ambao kazi yake ni kuwatendea haki wananchi wanyonge wa taifa hili,Basi Mahakama iwatendee HAKI watanzania kwa KUTOKUMVUA ubunge JOHN MNYIKA!!!
 
MNYIKA my Young brother....GOD WILL ALWAYS BE WITH YOU. NEVER BE DISMAYED

YOU WILL COME OUT WINNER!!! sioni cha kukutoa kwenye hiyo nafasi

kuwa wameandaa sherehe na kuweka majibu ya ki-ccm siku zote huwa vinabadilika tena hata dakika ya mwisho

kuna wakati mtoa matangazo au hukumu ...anaweza akashangaa amesema kisichokuwemo au kusichokuwa kimepangiliwa... I believe in

Goodluck
 
kwa kesi ya leo sitashangazwa sana na matokeo ya hukumu! kweli mtu anaye mpa wakati mgumu kikwete na mkewe plus ccm yao kweli wamuache? me ninachojua magamba wanajua hukumu na waweisoma kwenye gazeti la uhuru. hukumu hii inanisikitisha na kuni uma sana.
 
leo john Mnyika anahukumiwa..... hiv unadhan atapona? ?? tushawaona wabunge wawil wakivuliwa nyazifa zao akiwemo GODBLESS LEMA ....naomba wadau mmutakie ushind katika kess yke....
Tupamoja! wanapesa ,polisi,mahakimu na washili SISI TUNA MUNGU
 
Kesi ya kupinga matokeo yaliyompa ushindi Mbunge wa Ubungo John John Mnyika inatolewa hukumu yake leo.Ipo mbele ya Jaji Upendo Msuya.Jaji Msuya alihitimu masomo yake ya shahada ya kwanza ya sheria(almaarufu kama LL.B.) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.Baada ya hapo,Jaji Upendo Msuya aliingizwa kwenye orodha ya Mawakili wa Tanzania tarehe 10/12/1996 na kupewa Nambari ya Uwakili 391.Aliteuliwa Jaji mwaka 2008.

Nimewahi kujitokeza mbele ya Jaji Msuya mara kadhaa kwenye mashauri ya wateja wangu.Jaji Msuya ni mtu makini.Ni mtenda haki.Hatahivyo,magamba hayatabiriki.Nitaendelea baada ya hukumu kutolewa.Najiandaa kumsikiliza kwa ukaribu Jaji Upendo Msuya pale Mahakama Kuu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom