Daah! Sijui wakisoma wanajiskiajePicha za wanawake wanene wenye matumbo makubwa zilichochea hasira
Daah! Sijui wakisoma wanajiskiajePicha za wanawake wanene wenye matumbo makubwa zilichochea hasira
Akili huna nani kwakwambia mke wa msuya ni mmchame?Wamachame noma. Sioi janamke la kaskazini ng'o
Hao wala sio wachaga kabisa ache kukurupuka ndugu hao ni wapare !!!sio kila anaetoka kaskazin ni mchaga !!! Poor exposureWamachame noma. Sioi janamke la kaskazini ng'o
.Picha za wanawake wanene wenye matumbo makubwa zilichochea hasira
Mwanamke akiolewa anafuata ubin Wa mume,msuya ni LA upande wa mume je unajua ukoo wa mke?nauliza tu sijuiHao wala sio wachaga kabisa ache kukurupuka ndugu hao ni wapare !!!sio kila anaetoka kaskazin ni mchaga !!! Poor exposure
Mke ni mpare ukoo wake siukumbumbi ila sio mchagaMwanamke akiolewa anafuata ubin Wa mume,msuya ni LA upande wa mume je unajua ukoo wa mke?nauliza tu sijui
wapare wote kasoro mama mkwe, ambaye ni mama yake Erasto MSUYA ni Mmeru. HAMNA MCHAGAMke ni mpare ukoo wake siukumbumbi ila sio mchaga
Watoto wa bilionea msuya kwa sasa wana mgogolo na ndugu upande wa baba yao ambao walitaka kuwa wasimamizi wa mali za msuya, walipelekwa hadi ofisi ya rpc arusha ili kupatanishwa na ukoo wa baba yao ila walikataa kuongea na babu, bibi na mashangazi wakidai ndio wamefanya mpango mama yao aende jela wachukue maliDah! maskini watoto baba kauliwa, mama kafungwa kwa kumuua shangazi, watoto wanachukizwa na muuaji wa baba wanajikuta wametoka kwenye tumbo la muuaji, wanaenda kwa babu wanamkuta mtoto wa shangazi ambe ni marehemu kifo kimesababishwa na mama yao mama yao nae ni muuaji, aisee kuna familia zina pitia kipindi kigumu sana jamani.