Kesi ya mauaji ya Aneth Msuya: Shahidi asema mke wa Erasto alikiri kumuua wifi yake

Shetani ukusukuma utende jambo ukishaharibikiwa anakaa pembeni kukucheka.Tamaa mbele mauti nyuma.
 
Dah! maskini watoto baba kauliwa, mama kafungwa kwa kumuua shangazi, watoto wanachukizwa na muuaji wa baba wanajikuta wametoka kwenye tumbo la muuaji, wanaenda kwa babu wanamkuta mtoto wa shangazi ambe ni marehemu kifo kimesababishwa na mama yao mama yao nae ni muuaji, aisee kuna familia zina pitia kipindi kigumu sana jamani.
Watoto wa bilionea msuya kwa sasa wana mgogolo na ndugu upande wa baba yao ambao walitaka kuwa wasimamizi wa mali za msuya, walipelekwa hadi ofisi ya rpc arusha ili kupatanishwa na ukoo wa baba yao ila walikataa kuongea na babu, bibi na mashangazi wakidai ndio wamefanya mpango mama yao aende jela wachukue mali
 
1638605161414.png
 
Back
Top Bottom