Ibrahimu Zuberi Mkondo
Member
- Sep 19, 2019
- 43
- 383
Usilolijua nikama usiku Wa Gizahao masheikh wakitoka muwaonye kabisa ujinga ujinga waache huku mtaani watu wanataka amani na sio fujo wakizingua tutawazingua ...
Tuambie ni kesi gani na utupe ushahidiHawa mashekh wana kesi ya kujibu na ni nzito sana upande wao. Kila anayepita atawaacha umo humo segerea vinginevyo vyombo husika viamue tu kuwasemehe "makusudikally".
Wanazani nchi hii ya kufanya uhalifu ila wameshika adabuhao masheikh wakitoka muwaonye kabisa ujinga ujinga waache huku mtaani watu wanataka amani na sio fujo wakizingua tutawazingua.
Muulize shekhe rais jakaya kikwete kwanini aliamua kuwanyosha hao vibakaTuambie ni kesi gani na utupe ushahidi
Mi nimekuuliza ww jk cjamsikia akisema hayaMuulize shekhe rais jakaya kikwete kwanini aliamua kuwanyosha hao vibaka
Mbona washaomba msamaha na hawatarudia tena kwa upuuzi waliotaka kuufanyaHawa mashekh wana kesi ya kujibu na ni nzito sana upande wao. Kila anayepita atawaacha umo humo segerea vinginevyo vyombo husika viamue tu kuwasemehe "makusudikally".
Ujinga gani walimtongoza mke wako au walikutongoza wewe??Hao Masheikh wakitoka muwaonye kabisa ujinga ujinga waache huku mtaani watu wanataka amani na sio fujo wakizingua tutawazingua ...
Wewe utakuwa siyo mtanzania mpaka usijue kile walichokifanyaMi nimekuuliza ww jk cjamsikia akisema haya
Mwaka watisa huu mbona hamjaona Hilo kosa WACHENI UKOLONI HUO wewe angelikua baba yako kateseka hivyo ungesema hayo WACHENI USHENZI WAZANZIBAR NA BINADAMU PIA KM NYINYIHawa mashekh wana kesi ya kujibu na ni nzito sana upande wao. Kila anayepita atawaacha umo humo segerea vinginevyo vyombo husika viamue tu kuwasemehe "makusudikally".
Na wewe hutaki wawe huru?Ukiona hivi ujue wanatafuta vifungu vya kuwaachia huru
Why not? Watu wapewe haki zaoNa wewe hutaki wawe huru??
Mama yako jee hajashika adabu issue ya Muungano bado nztitoo usolijua mkoloni mweusi wewe litakusumbuwa eti wwmeshika adabu jinga mojawWANAZANI NCHI HII YA KUFANYA UHALIFU ILA WAMESHIKA ADABU
Kibaba BABA YAKOOOOMuulize shekhe rais jakaya kikwete kwanini aliamua kuwanyosha hao vibaka