Kesi ya Liyumba: Kweka alikuwa mchanga wa macho?

Kesi ya Liyumba: Kweka alikuwa mchanga wa macho?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,992
Jamani kwa wanaofatilia hii kesi ya mh lyumba
jamani waliingizwa wawili mule ndani na mzee mmoja kama angebaki mwezi hakika angefia kule ndani yule mzee...mpaka sasa hakuna anaejua yule mzee aliachiwa??ama aliingozwa kama mchanga wa macho

wenye taarifa zaidi tusaidieni jamani!!!!
 
Back
Top Bottom