PreGE2025 Kesi ya Lissu, harakati za ukombozi; CHADEMA kuweni macho na mamluki, "katika viwalavyo, na nguoni mwenu, vimo!"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,776
Reaction score
46,050
Hili ni angalizo la usalama kwa mustakabala mwema wa harakati za ukombozi na Mh. Lissu mikononi mwa watesi wetu:

IMG_20250413_080137.jpg

Kama huyu ni wakili msomi akiiwakilisha CHADEMA na mwamba kwa kipindi chote: "ama?!"

Kwa hakika jopo la utetezi, mipango na mikakati nyeti ya mapambano haiwezi kuwa bwerere kwa kila Tom na Joni, pichani dhidi yetu:

1744224725751.png

Ninawasilisha.
 
Unakumbuka makala alisema huko mbele chadema watapaluana

Haya endeleeni kupaluana

Shindeni mechi zenu
 
aise! wamejuaje lisu Hana ofisi

Kwamba ,John Kwa kuwa ndo kaandika walaka WA kijinga huo uliokotiwa kwa KESI ya kijinga hiyo ndo akili? ndomana lisu alijibu huo uasi lazima ufanyike

Kwamba,kwakuwa John na wezake wanahiyo ofisi iitwayo MATWIGa ndo akili?

Poleni sana
 
Hili ni angalizo la usalama kwa mustakabala mwema wa harakati za ukombozi na Mh. Lissu mikononi mwa watesi wetu:

View attachment 3302560

Kama huyu ni wakili msomi akiiwakilisha CHADEMA na mwamba kwa kipindi chote: "ama?!"

Kwa hakika jopo la utetezi, mipango na mikakati nyeti ya mapambano haiwezi kuwa bwerere kwa kila Tom na Joni, pichani dhidi yetu:

View attachment 3302561

Ninawasilisha.
John Mallya ni CHAWA wa MBOWE.
CHAWA ananunulika. CHAWA ni malaya wa kisiasa
 
aise! wamejuaje lisu Hana ofisi

Kwamba ,John Kwa kuwa ndo kaandika walaka WA kijinga huo uliokotiwa kwa KESI ya kijinga hiyo ndo akili? ndomana lisu alijibu huo uasi lazima ufanyike

Kwamba,kwakuwa John na wezake wanahiyo ofisi iitwayo MATWIGa ndo akili?

Poleni sana

Umepotea muda mwingi sana na madalali wa siasa kama huyu
 
Namkumbuka Lema wakati anatangaza kutomuunga Mbowe mkono na kumuunga Lissu mkono kwa ajili ya usalama wa chama na demokrasia ya nchi,aligusia hulka ya wachaga na kusema inabidi avunje uchaga kwa Mbowe.

Kuelewa hilo katazame wale wanaoongoza kumpinga Lissu leo, John Mrema, John Mallya, Boniface Assenga na hata Mbowe mwenyewe mpaka leo kakaa kimya hata kutoa tamko la kupinga Lissu kupewa kesi ya uhaini!!

Wachaga ni watu wa ajabu sana kwenye maslahi yao, fedha na umoja wao mbele kuliki maslahi mapana ya umma!!
 
Inasikitisha sana.

Ngoja niwaite washirika: imhotep, binti kiziwi, Drlfter, Joka Mkuu, Joni waliomo na wasiokuwamo kwa utambuzi.

Kuishi kwingi ni kuona mengi.
 
..huyo uliyemnukuu anapaswa kuwalaumu waliomkamata TAL na sio kulaumu Wachagga.

Huna maoni yoyote kumhusu wakili msomi huyo au wa aina yake?

Tukomae na mtoa maoni au na tulioamini ni wetu na wanatuvuta nyuma hivi?
 
Inasikitisha sana.

Ngoja niwaite washirika: imhotep, binti kiziwi, Drlfter, Joka Mkuu, Joni waliomo na wasiokuwamo kwa utambuzi.

Kuishi kwingi ni kuona mengi.
Hili sio swala la CHADEMA tena hii ni agenda ya Watanzania wote,

na uzuri ni kwamba sasa Watanzania wameshajua nani ni Wapinzani wa kweli na nani ni "Wapinzani Ruzuku".
 
Back
Top Bottom