Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 375
- 707
yaani huyo mwanamke anataka matibabu anasema alipata changamoto wakati anatia mimbaKuna uhusiano gani wa kuumwa tumbo na kutoa mimba mwezi wa 7 mwaka jana Mkuu?
Kuna jamaa mwanamke wake katoa mimba mwezi wa 7 mwaka jana
Leo anamwambia anaumwa tumbo anataka waende hospital akatibiwe hio changamoto au atume hela
Wanawake wengi wamekua na tabia za kikatili automaticall kwa sababu ya kutoa mimbaš¤Kitendo cha kikatili Sana.
Ndio maana wengi wanapagawa yaani hawako sawa, mtu wa Aina lazima awe Sociopath.Wanawake wengi wamekua na tabia za kikatili automaticall kwa sababu ya kutoa mimbaš¤
Hili jambo lina athari kisaikolojia mno
noHuyo jamaa ni wewe
Hiyo kitu inaathiri sana utu wa mwanamke bila kujua kama hayupo sawa kiakiliš¤Ndio maana wengi wanapagawa yaani hawako sawa, mtu wa Aina lazima awe Sociopath.