Kesi ya kutoa mimba

Kesi ya kutoa mimba

Eliud Bunju

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Posts
375
Reaction score
707
Kuna jamaa mwanamke wake katoa mimba mwezi wa 7 mwaka jana

Leo anamwambia anaumwa tumbo anataka waende hospital akatibiwe hio changamoto au atume hela
 
Kuna jamaa mwanamke wake katoa mimba mwezi wa 7 mwaka jana

Leo anamwambia anaumwa tumbo anataka waende hospital akatibiwe hio changamoto au atume hela

Amfuate waende na wamalize hiyo issue atafanywa mtumwa
 
Kwahiyo ulitaka akuzalie baadae uje kumsimanga single maza?

Wewe kama pesa huna sema sio unazunguka..!!
 
Back
Top Bottom