Mathematic
Member
- May 15, 2011
- 56
- 2
Ukifuatilia kwa makini mtiririko wa taarifa na namna ya uchangiaji humu ndani utagundua kuwa anaeharibu chronological sequence ya thread sio watu kama Ngongo,Faiza Fox ua Ritz. Hao wapo kwa ajili ya ku-divate mind za watu kwa kupost irrelevant topics kama vile kuingiza personal life ya mtu basi na sisi tunakubali kutoka nje ya topic na kuanza kujibizana nao. Wao hapo wanakuwa wamefanikiwa azma yao. Wakati Kamanda Crashwise anatujuza yaliyokuwa yanajili mahakamani tulitakiwa kuwa makini kwa kufuatilia taarifa zake na sio kuanza kujibu hoja irrelevant toka kwa ma-agent wa magamba ambao kazi yao ni kuvuruga mtiririko wa thread.Unakopi- pesti tekniki ya maisha yako ya kujipendekeza kwa mafisadi na mitoto yao kwa watanzania wengine?
What works best for you, only does so only for you and your dependent family.
wewe ungependa nifanyekazi ya namna gani ilinikufurahishe mama watoto...hapa nilipo niko kazini sijui ulina jingine...hahahaHivi wewe Crashwise! Kazi unafanya saa ngapi kila siku unashinda vijiweni pale maeneo ya Sakina, ukitoka hapo unakwenda vijiwe vingine vya Unga Limeted, ukisikia kesi za CDM unakimbila mahakamani kuripoti humu JF, tafuta kazi kijana maisha ya kama kwale sio mazuri.
Jaribu kuongea na Dr Slaa, upate kibarua hata cha utingo kwenye zile Fuso za CDM, msingi wa maisha ni kufanya kazi kwa bidii tu hakuna ujanja ujanja
vipi huko mikoani sukari bei gani?
Ukifuatilia kwa makini mtiririko wa taarifa na namna ya uchangiaji humu ndani utagundua kuwa anaeharibu chronological sequence ya thread sio watu kama Ngongo,Faiza Fox ua Ritz. Hao wapo kwa ajili ya ku-divate mind za watu kwa kupost irrelevant topics kama vile kuingiza personal life ya mtu basi na sisi tunakubali kutoka nje ya topic na kuanza kujibizana nao. Wao hapo wanakuwa wamefanikiwa azma yao. Wakati Kamanda Crashwise anatujuza yaliyokuwa yanajili mahakamani tulitakiwa kuwa makini kwa kufuatilia taarifa zake na sio kuanza kujibu hoja irrelevant toka kwa ma-agent wa magamba ambao kazi yao ni kuvuruga mtiririko wa thread.
My Note: Tu-ignore kwa kutojibu hoja yoyote itakoyopostiwa katikati ya mtiririko wa taarifa ambayo ni irrelevant na suala linalojadiliwa maana zinaletwa kwa lengo la kutufanya tu-loose concentration kwa ku-divate mind zetu.
Mkuu Crashwise tunakutegemea sana kwa kutujuza kipindi cha pili kitakapoanza........Keep it Up Kamanda........!
Ngongo,Bahati mbaya niko nje ya mkoa lakini niko well represented.
Utatunga sana kila aina ya maneno upate ushabiki, lakini kwa Arusha utagonga mwamba!Diwani wa Levolosi vipi mkishinda kesi utachinja tena ng'ombe ?.Ulichangisha mazobe fedha za kumpongeza mbunge nusu ya fedha ukatia ndani au unadhani hatujui.Bora wewe mjanja mjanja si kama Crashwise kesi ikimalizika lazima akupige mzinga bwahaaaa haaa aa.
Hivi Ngongo naLema wanafahamiana in person,manake chuki aliyonayo kwa Lema inaonyesha ni zaidi ya mambo ya kisiasa,nakubaliana na wewe Ngongo angepunguza hasira na chuki kwa Lema haimsaidii hata kidogo wana Jamvi wengi wetu tumejua kwamba ana mtazamo wa kutaka Lema ashindwe na je akishindwa atabalika na kuitwa ngungu jamani too muchUtatunga sana kila aina ya maneno upate ushabiki, lakini kwa Arusha utagonga mwamba!
Kapeleke hukooo maneno yako yasiyo na mashiko!
Kwa taarifa yako, Arusha ilishabadilika!...Wakimtoa Lema anakuja Lema-Junior!
Utaishia kuombea mkono uanguke kama fisi!
Ngongo,
Natanguliza heshima, maana najua naweza kwenda extreme tukaudhiana, haya ni majukwaa tu, na najua tukikutana nina glass kadhaa za mvinyo toka kwako!
Wewe unamshutumu Crashwise kuwa yuko biased na cdm, lakini hapohapo unasema kuwa una marafiki zako Mahakamani ambao watakuelezea vizuri, huoni kuwa unarudi kwenye Square One?
Huoni kuwa rafiki zako ni rafiki wa ccm aka TLP, na hivyo wataeleza yanayokupendeza wewe?...sijui ugumu wa kuelewa hili uko wapi!
Ngongo punguza hasira!...TLP na ccm kushindwa ndio unakuwa mshari hivyo, tutafika kweli?
Huko ni kuingilia maisha binafsi ya Crashwise, hujatuambia kama anamatatizo ya kifedha au chakula kiasi cha kuanza kumsuta hapa jamvini. Kuna "peasants" kibao wanafanya kazi kutwa nzima lakini ni maskini wa kutupwa wala sijaona ukiwapa ushauri wa kuinua "labour productivity" yao, sana sana naona michango yako ya hovyo hovyo tu hapa. Nampongeza sana Crashwise kwa kutujuza hapa kuliko wewe na uwezo wako finyu wa kuona na kuchambua mambo. Ebu basi tujuze mchango wako ktk jamii zaidi ya kujikomba kwa watawala ni upi?"Hivi wewe Crashwise! Kazi unafanya saa ngapi kila siku unashinda vijiweni pale maeneo ya Sakina, ukitoka hapo unakwenda vijiwe vingine vya Unga Limeted, ukisikia kesi za CDM unakimbila mahakamani kuripoti humu JF, tafuta kazi kijana maisha ya kama kwale sio mazuri.
Jaribu kuongea na Dr Slaa, upate kibarua hata cha utingo kwenye zile Fuso za CDM, msingi wa maisha ni kufanya kazi kwa bidii tu hakuna ujanja ujanja
Ngongo na Lema wanafahamiana sana!Hivi Ngongo naLema wanafahamiana in person,manake chuki aliyonayo kwa Lema inaonyesha ni zaidi ya mambo ya kisiasa,nakubaliana na wewe Ngongo angepunguza hasira na chuki kwa Lema haimsaidii hata kidogo wana Jamvi wengi wetu tumejua kwamba ana mtazamo wa kutaka Lema ashindwe na je akishindwa atabalika na kuitwa ngungu jamani too much
Utatunga sana kila aina ya maneno upate ushabiki, lakini kwa Arusha utagonga mwamba!
Kapeleke hukooo maneno yako yasiyo na mashiko!
Kwa taarifa yako, Arusha ilishabadilika!...Wakimtoa Lema anakuja Lema-Junior!
Utaishia kuombea mkono uanguke kama fisi!
wajinga wenzako!Kwa hiyo ni mapumziko dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeisha, nani kazidiwa?
Hivi Ngongo naLema wanafahamiana in person,manake chuki aliyonayo kwa Lema inaonyesha ni zaidi ya mambo ya kisiasa,nakubaliana na wewe Ngongo angepunguza hasira na chuki kwa Lema haimsaidii hata kidogo wana Jamvi wengi wetu tumejua kwamba ana mtazamo wa kutaka Lema ashindwe na je akishindwa atabalika na kuitwa ngungu jamani too much
Taratibu mpenda maziwa ninaposema nina marafiki zangu hapo mahakamani sina maana ni wanachama wa CCM ,TLP,CDM,CUF,UDP au chama kingine chochote.Ni watu huru kama mimi hatuna vyama tunavyoviwakilisha au kushabikia ni wanahabari ambao wameapaa kulinda maadili ya uandishi wa habari anachokifanya Crashwise nikuwafurahisha wanaCDM including you Mpenda maziwa.
Nitarejea Arusha next week nitapata news from ruputable sources najua unajua nikiaamua kufuatilia jambo siachi kitu.
Full Crackpot!! JF, sio ya CDMUkifuatilia kwa makini mtiririko wa taarifa na namna ya uchangiaji humu ndani utagundua kuwa anaeharibu chronological sequence ya thread sio watu kama Ngongo,Faiza Fox ua Ritz. Hao wapo kwa ajili ya ku-divate mind za watu kwa kupost irrelevant topics kama vile kuingiza personal life ya mtu basi na sisi tunakubali kutoka nje ya topic na kuanza kujibizana nao. Wao hapo wanakuwa wamefanikiwa azma yao. Wakati Kamanda Crashwise anatujuza yaliyokuwa yanajili mahakamani tulitakiwa kuwa makini kwa kufuatilia taarifa zake na sio kuanza kujibu hoja irrelevant toka kwa ma-agent wa magamba ambao kazi yao ni kuvuruga mtiririko wa thread.
My Note: Tu-ignore kwa kutojibu hoja yoyote itakoyopostiwa katikati ya mtiririko wa taarifa ambayo ni irrelevant na suala linalojadiliwa maana zinaletwa kwa lengo la kutufanya tu-loose concentration kwa ku-divate mind zetu.
Mkuu Crashwise tunakutegemea sana kwa kutujuza kipindi cha pili kitakapoanza........Keep it Up Kamanda........!
Froida nina chuki na Cheyo,Lowassa,Mramba na Mkapa je unaweza kuniomba nipunguze chuki dhidi yao ?.
Ngongo na Lema wanafahamiana sana!
Lakini ni kwamba Ngongo anamchukia Lema kwa kuwa yeye (Ngongo)alikuwa na crew ya mgomgea wa TLP kwenye Ubunge!...
Hivyo ana hasira sana, na akitoka kidogo usoni pa Lema anaingia JF kumnanga Lema!
Lakini kiujumla Lema anamwamini sana Ngongo akijua ni rafiki wa karibu, na kuna kipindi alimtumia katika kazi fulani nyeti bila kustukia, na Ngongo alivyo kichaa akaifanya na kuiwasilisha ili kuendelea kuvaa ngozi ya mwanakondoo, na kuendeleza unafiki!
Na tuiache Historia iwe Historia!Mpenda Maziwa vipi tena kamanda mbona siku hizi umekuwa msahaulifu sana.Nilianza kutofautiana na Lema alipomrubuni diwani wa TLP Bwana Mawazo kwenda CCM alishiriki kampeni akiwa amevaa magwanda ya CCM kijani na nyeusi.Hili PakaJimmy umelisahau au hutaki kuwajuza mashabiki wenzako wa CDM dhambi aliyoifanya Lema.
<br /><font size="3"><span style="font-family: lucida console"><b>Mussa Mkangaa ni diwani wa zamani CCM sijui siku hizi ana wadhifa gani ndani ya chama cha Magamba.</b></span></font>