LEARNED BRO AND SISTERS! Ndugu zangu, katika miaka ya 1990 ilitokea kesi moja mkoani Rukwa ambapo kuna mbwa alikuwa anaitwa IMMIGRATION. Idara ya uhamiaji ilifungua kesi mahakamani kwamba idara hiyo imedhalilishwa kwa jina la idara kupewa mbwa.Katika hukumu yake, mahakama iliauru mbwa yule auawe.
Nawaombeni, anaeijua vema kesi hiyo aijadili na kama kuna nakala ya hukumu si vibaya akiiweka hapa ili tupate kuivinjari
Nawaombeni, anaeijua vema kesi hiyo aijadili na kama kuna nakala ya hukumu si vibaya akiiweka hapa ili tupate kuivinjari