KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,372
Angekuwa amebakwa mwanao sijui kama hii post ungeweka hapa.
huo ni msamiati mpya?
Asante kwa kuuliza. Kwa kweli Kiswahili wanachoandika watu kadhaa kwenye huu mtandao kinakwaruza sana hasa wanapoacha kuweka "h"au kuingiza "h" pasipotakiwa:
akika badala ya hakika
amna badala ya hamna
hacha badala ya acha
n.k.
mambo ya babu seya,serikali iawezi kuepuka lawama
Tulipofikia sidhani kama kuna haja yakusumbua watu, hebu waacheni kila mtu afe nalwake. Hivi ushoga unaruhusiwa tena kisheria halafu muwakataze wakina Dada kukutana na wanaume????? Mnatakaje sasa nyie polisi mbona hatuwasomi????
Una binti unataka umuozeshe??Una umri gani?
Nina Shabab anataka kuoa mke wa piliUna binti unataka umuozeshe??