Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Ya Arusha inamalizika haraka, ya Makongoro je?
mara nyingi mlalamikiwa huzuiwa asishiriki uchaguzi mdogo,itabidi awekwe cdm mwingine
Kama umefuatilia kesi ya msingi sijaona mahali lema kapatikana na hatia labda kama ccm watatumia mahakama vibaya na hili linaweza kuwa hatari zaidi kwao