Kesi ubunge wa Lema: Hukumu tar 5 April...

Kama umefuatilia kesi ya msingi sijaona mahali lema kapatikana na hatia labda kama ccm watatumia mahakama vibaya na hili linaweza kuwa hatari zaidi kwao

Hata mimi naona kwa hizo proceedings za kesi hakuna mahali mashahidi walithibitisha madai yao kwa kile kinachoitwa balance of doubt kwa hiyo walalamikaji wajiandae tu kulipa gharama
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom