Kesi nyingine ya Lengai Ole Sabaya kuanza hivi karibuni

tatizo ameshachelewa
 
Hivi huyo dogo hadi anafanya hayo ,wakubwa wake :-Mkuu wa mkoa,Waziri Mkuu,Rais Magu,Spika Ndugai,Mkuu wa Polisi, hawakuyaona haya?
Kama haitoshi huyo kidude mtu usalama wa taifa hawakuliona?
Huyo dogo akiwa Mwenyekiti wa mkoa wa vijana wa Arusha CCM alikamatwa na kushtakiwa kwa kufogi kitambulisho cha usalama wa taifa akitishia watu wampe rushwa.Cha ajabu Magu akamteua DC Hai.
Sitashangaa wananchi kuishtaki Jamhuri walipwe fidia ya kumuajiri Shetani huyo.
Mwana kulitafuta mwana kulipata.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…