Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!Nipo kibanda umiza naperuzi jf
Pambaff mnafiki mkubwa weeeHongera sana kwao
Ndio maana ya kuachiwa huru ina maana kesi imefutwa na file limechomwa moto
Pambaff mnafiki mkubwa weee
IshiiKESI namba 457 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) inayohusu kampuni za CUSNA Investment na Ocean Link kudaiwa kukwepa kodi Bandarini Dar na kunyanyasa wafanyakazi wa kitanzania imeendelea leo Juni 01, 2018 katika Mahakama ya Mkazi, Kisutu.
Akisoma shauri hilo Hakimu Godfrey Mwambapa amesema washitakiwa hawana kesi ya kujibu na hiyo Mahakama imewaachia huru kuanzia leo. Hili ni moja kati ya mashauri 3 yaliyokuwa yanawakabili washtakiwa. Kwa mantiki hiyo, bado kuna mashtaka 2 yatakayotajwa mahakamani hapa Juni 18.
Kesi hii namba 457 iliyokuwa ikiikabili JamiiForums, ilihusu kampuni ya CUSNA Investment ambayo ilidaiwa kufoji nyaraka bandarini, kukwepa kodi na kuwatesa wafanyakazi wazalendo na kupendelea wageni toka nje ya nchi.
Ndo huyo wanamwitaga wakili msomi?Peter Kibatala sio mtu wa mchezo!