cusna investment

  1. Roving Journalist

    Kesi namba 457: Mahakama yasema Maxence Melo na Micke William hawana Kesi ya kujibu! Yawaachia huru

    Kesi namba 457 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) inayohusu kampuni za CUSNA Investment na Ocean Link kudaiwa kukwepa kodi Bandarini Dar na kunyanyasa wafanyakazi wa kitanzania imeendelea leo Juni 01, 2018 katika Mahakama ya Mkazi, Kisutu. Akisoma shauri hilo Hakimu Godfrey...
  2. Roving Journalist

    KISUTU: Kesi namba 457(Jamhuri v JamiiForums), Hakimu apata dharura. Yapigwa kalenda mpaka Juni 01, 2018

    Kesi namba 457 (Jamhuri v Maxence Melo na mwenzake Micke William) inayohusu kampuni za CUSNA Investment na Ocean Link kudaiwa kukwepa kodi Bandarini Dar na kunyanyasa wafanyakazi wa kitanzania imeendelea leo Mei 28, 2018 katika Mahakama ya Mkazi, Kisutu. Hata hivyo kesi hii inayosikilizwa mbele...
  3. Mwanahabari Huru

    KISUTU: Hatma ya kesi namba 457(Jamhuri v JamiiForums) kutolewa Mei 28, 2018

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Mei 28, 2018 kutoa uamuzi kama Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forums, Maxence Melo na mwenzake wana kesi ya kujibu au la. Uamuzi huo wa Mahakama umetolewa leo Mei 22, 2018 na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Godfrey Mwambapa baada ya...
  4. Roving Journalist

    KISUTU: Kesi namba 457 (Jamhuri Vs JamiiForums) imeahirishwa hadi Machi 13! Ni ile ya Kampuni za Cusna na Ocean Link...

    KISUTU: Kesi namba 457 (Jamhuri vs Maxence Melo na mwenzake Micke William) kuhusiana na tuhuma zilizowekwa katika mtandao wa JamiiForums juu ya Kampuni za Cusna Investment na Ocean Link kukwepa kodi na kunyanyasa wafanyakazi wazalendo imeendelea leo tena Mahakamani hapa. Kesi hii imeahirishwa...
Back
Top Bottom